Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, February 27, 2015

MABONDIA WAPIMA UZITO KUZIPIGA FEB 28 UWANJA WA NDANI WA TAIFA JUMAMOSI

Mabondia Mwinyi Mzengela kushoto na Shomari Milundi wakitunishiana misuri baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao jumamosi ya kesho feb 28 utakaofanyika uwanja wa ndani wa taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Fadhili Majiha akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Francis Miyeyusho utakaofanyika Feb 28 katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Epson John wa Morogoro kushoto akitunishiana misuli na Vicent Mbilinyi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao kesho utakaofanyika katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa taifa katikati ni mratibu Antony Rutta Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Cosmas Cheka kushoto akitunishiana misuli na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa ubingwa wa U.B.O Africa utakaofanyika jumamosi ya feb 28 uwanja wa ndani wa taifa picha na SUPER D BOXING NEWS
 BONDIA IBRAHIMU  CLASS 'KING CLASS MAWE' AKIPIMA UZITO KWA AJILI YA MPAMBANO WAKE WA UBINGWA WA U.B.O AFRICA
 BONDIA FRANSIC MIYEYUSHO CHICHI MAWE AKIPIMA UZITO
Bondia Cosmas Cheka kushoto akitunishiana misuli na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa ubingwa wa U.B.O Africa utakaofanyika jumamosi ya feb 28 uwanja wa ndani wa taifa picha na SUPER D BOXING NEWS

Na Mwandishi Wetu

MABONDIA Ibrahimu Class 'King Class Mawe' na Cosmas Cheka wamepima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa raundi kumi kugombania ubingwa wa U.B.O Africa utakaofanyika jumamosi hii katika uwanja wa ndani wa taifa
mpambano huo mkali utatanguliwa na ngumi kali kutoka kwa bondia Fransic Miyeyusho atakaezipiga na Fadhili Majiha mpambano wa raundi nane mpambano mwingine wa ubingwa ni kati ya Alibaba Ramadhani na Jacobo Maganga na katika kusindikiza mapambano hayo makali bondia machachari na chipkizi Vicent Mbilinyi ataoneshana umwamba na Epson John wa Morogoro na Shomari Milundi atapambana na Mwinyi Mzengela huku Husein Mbonde atakabiliana na Shedrack Ignas katika kuhakikisha mpambano huo unakuwa wa kihistoria na kuacha gumzo nchini bondia Said Mundi wa Tanga atapambana na Ramadhani Shauli na mapambano mengine mbalimbali

mpambano huo unaosimamiwa na P.S.T chini ya rais wake Emanuel Mlundwa yamekuwa gumzo mjini na kusababisha taflani za mabondia kutaka kupigana kavukavu uku makocha wao pia wakikunjiana ngumi

siku hiyo kutakuwa na ulinzi na usalama wa kutosha kwa watu na mali zao 

siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za ngumi  mabingwa wa Dunia akiwemo Manny Paquaio, Floyd Maywether, Roy Jones,Miguel Cotto,Linox Lewis, David Haye,Mohamed Ali
na wengine wengi DVD hizo zilizoandaliwa kwa ubora wa hali ya juu zitakuwa zikiuzwa kwenye mpambano huo na Kocha wa Kimataifa wa mchezo huo. Rajabu Mhamila ‘Super D’, alisema kuwa kutakuwa na DVD ili kuweza kuwauzia mashabiki kwa ajili ya kujifunza Kanuni na Sheria za mchezo huo.

Wednesday, February 18, 2015

IMANI MAPAMBANO AJIFUA KUMKABILI MOHAMED KIBWANA FEB 22 TANDIKA MAGURUWE

Bondia Imani Daudi Mapambano kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mazoezi yanayoendelea katika club ya Super D iliyopo Shile ya Uhuru Dar es salaam Mapambano anajiandaa na mpambano wake na Mohamed Kibwana utakaofanyika Feb 22 katika ukumbi wa Musoma bar uliopo Tandika Maguruwe Picha na SUPER D BOXING NEWS

 IMANI DAUD MAPAMBANO AKIWA NA IBRAHI,U CLASS KING CLASS MAWE
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimwelekeza jinsi ya kupiga ngumu za chembe na kidevu bondia Imani Daud Mapambano anaejiandaa kuzidunda na Mohamed Kibwana mpambano utakaofanyika katika ukumbi wa Musoma Bar uliopo Tandika Maguruwe Feb 22 Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kushoto akipambana na Imani Daud
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kushoto akipambana na Imani Daud
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimwelekeza jinsi ya kupiga ngumi za kurufuka kwa kunyoosha mkono  bondia Imani Daud Mapambano anaejiandaa kuzidunda na Mohamed Kibwana mpambano utakaofanyika katika ukumbi wa Musoma Bar uliopo Tandika Maguruwe Feb 22 Picha na SUPER D BOXING NEWS

Na Mwandishi Wetu

Bondia Imani Daud Mapambano amendelea kujifaa katika club ya Super D iliyopo Kariakoo shule ya Uhuru Dar es salaam kabla ya kukabiliana na bondia Mohamed Kibwana siku ya Feb 22 katika ukumbi wa Musoma Bar uluopo Tandika Maguruwe Dar es salaam

akizungumzia mandalizi ya mpambano wake  Daud amejinasibu kwa kusema kuwa siku hiyo ato kuwa na msaliamtume kwa kuwa yupo fiti zaidi na ana uchu wa kucheza mchezo mzuri kwa kuwa ndio kwanza kaenda kujiandaa katika GYM mpya hivyo atopenda kuwangusha
mchezo huo wa raundi nane utakaosimamiwa na oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBO chini ya Rais wake Yassin Abdallah 'Ostadhi' amesema mabondia hawo watapima uzito siku ya jumamosi na kucheza siku ya jumapili katika ukumbi wa musoma bar uliopo Tanduka Maguruwe

siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za ngumi  mabingwa wa Dunia akiwemo Manny Paquaio, Floyd Maywether, Roy Jones,Miguel Cotto,Linox Lewis, David Haye,Mohamed Ali
na wengine wengi DVD hizo zilizoandaliwa kwa ubora wa hali ya juu zitakuwa zikiuzwa kwenye mpambano huo na Kocha wa Kimataifa wa mchezo huo. Rajabu Mhamila ‘Super D’, alisema kuwa kutakuwa na DVD ili kuweza kuwauzia mashabiki kwa ajili ya kujifunza Kanuni na Sheria za mchezo huo.

Monday, February 16, 2015

OMARI KIMWERI AMPIGA TAFU VIFAA KOCHA KINYOGOLI

Mwanasoka wa kike, Melanie Gines ambaye ni raia wa Hispania. kushoto akimkabidhi glove kocha mkongwe wa mchezo wa masumbwi nchini zilizotolewa nabondia Mtanzania anayefanya kazi zake nchini Deer Park, Victoria, Australia, Omari Kimweri katikati kwa kushirikiana na kocha Rajabu Mhamila 'Super D' Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Om ari Kimweri akimvisha mkanda wa ubingwa wa taifa Alphonce Mchumiatumbo baada ya kumtwanga Iddi Bonge kwa point Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Mtanzania anayefanya kazi zake nchini Deer Park, Victoria, Australia, Omari Kimweri kushoto akiwa katika picha ya pamoja na kocha Habibu Kinyogoli kulia ni Mwanasoka wa kike, Melanie Gines ambaye ni raia wa Hispania

Omari Kimweri akiwa na alphonce mchumiatumbo baada ya kumvalisha mkanda wa ubingwa wa taifa
Na Mwandishi Wetu

BONDIA Mtanzania anayefanya kazi zake nchini Deer Park, Victoria, Australia, Omari Kimweri mwishoni mwa wiki iliyopita kwa mara ya kwanza ali ongea na wapenzi wa mchezo wa masumbwi ambao walifulika katika ukumbi wa P.T.A sabasaba jijini Dar es salaam

na kukabidhi vifaa vya mchezo wa masumbwi kwa kocha Habibu Kinyogoli kwa ajili ya kuendeleza mchezo wa masumbwi nchini baada ya kupokea msaada huo Kinyogoli alisema kuwa haya ni matunda yake japokuwa ni watu wachaxhe sana wanaokwenda nje ya nchi kuwakumbuka wenzao yeyey amewakumbuka wenzake kwa kuwa vifaa hivyo vitatumika na mabondia chipkizi

makabidhiano hayo yalifanyika wakati wa mpambano wa Aliphonce Mchumiatumbo na Iddi Bonge mpambano ambaso ulisha kwa K,O ya raundi ya kwanza baada ya bondia Bonge kupigwa ngumi kali na kwenda chini mara tatu kwa kila ngumi aliyokuwa akipigwa

baada ya ushindi huo Kimweri alimvalisha mkanda wa ubingwa wa taifa unaotambulika na chama cjha ngumi za kulipwa nchini P.S.T

kwa Mchumiatumbo baada ya kumgalagaza Bonge bila ya huruma katika mapambano mengine ya utangulizi bondia machachali Vicent Mbilinyi alimgalagaza bondia Khalidi Manjee bila ya huruma wakati Mussa Sunga alimchapa Makali Mawe kwa point

Friday, February 13, 2015

MABONDIA MCHUMIATUMBO NA IDI BONGE WAPIMA UZITO

 Bondia Iddi Bonge kushoto akitunishiana misuli na Alphonce mchumiatumbo baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika feb 14 katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba Dar es salaam siku ya jumamosi picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Vicent Mbilinyi
Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akitunishiana masuli na Halidi Manjee baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika feb 14 katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba Dar es salaam picha na SUPER D BOXING NEWS

MABONDIA wa uzito wa juu wamepima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa ubingwa wa taifa mabondia hawo ni Iddi Bonge na Alphonce mchumiatumba ambao watapanda uringoni siku ya feb 14 katika ukumbi wa P.T.A sabasaba kwa ajili ya kumaliza ubishi
ambao umetanda mitaani ni nani bingwa wa uzito wa juu nchini ambapo kwa mda mrefu akuna bingwa wa uzito huo katika upimaji wa uziti zilizogubikwa na tambo mbalimbali za mashabiki waliojazana kushidia upimaji wa uzito 

mpambano huo wa raundi kumi utakuwa ni wa aina yake kwa kuwa kutakuwa na mapambano mengine ya utangulizi ambapo bondia Iddi Mnyeke atapambana na Yonas Sego nae Alidi manjee atakabiliana na bondia chipkizi anaekuja kwa kasi katika ulimwengu wa masumbwi Vicent Mbilinyi wakati Shabani Kaoneka atamkabili Saidi Mbelwa, na Deo Samweli akipambana na Adam Ngange Juma fundi atakabiliana na Bakari Ostadhi na Amani Bariki 'Manny Chuga' atapambana na Mohamed Kashinde 
 
Manyoka aliongeza kwa kusema kuwa siku hiyo kutakuwa na ulinzi wa kutosha ndani na nje ya ukumbi huo ambapo amesha wasiliana na walinzi mbalimbali
siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za ngumi  mabingwa wa Dunia akiwemo Manny Paquaio, Floyd Maywether, Roy Jones,Miguel Cotto,Linox Lewis, David Haye,Mohamed Ali

na wengine wengi DVD hizo zilizoandaliwa kwa ubora wa hali ya juu zitakuwa zikiuzwa kwenye mpambano huo na Kocha wa Kimataifa wa mchezo huo. Rajabu Mhamila ‘Super D’, alisema kuwa kutakuwa na DVD ili kuweza kuwauzia mashabiki kwa ajili ya kujifunza Kanuni na Sheria za mchezo huo.

Wednesday, February 11, 2015

BONDIA IDDI BONGE AJIFUA KWA AJILI YA MPAMBANO WAKE WA FEB 14 P.T.A SABASABA

Bondia Iddi Bonge akipiga beg zito wakati wa mazoezi yake ya mpambano wake na Aliphoce Mchumiatumbo utakaofanyika katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba siku ya feb 14 Picha na SUPER D BOXING NEWS

BONDIA IDDY BONGE AKIWA NA MARAFIKI ZAKE ANAOFANYA NAO MAZOEZI 

Na Mwandishi Wetu

Bondia Iddi Kipandu 'Iddi Bonge ' amendelea na mazoezi kwa ajili ya mpambano wake utakaofanyika feb 14 katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba ambapo atapambana na Alphonce Mchemiatumbo  mpambano wa ubingwa wa taifa raundi kumi uzito wa juu ni kwa mara ya kwanza kabisa baada ya miaka kadhaa kupita na kuto kuwa na bingwa wa uzito wa juu

akizungumza wakati wa mazoezi yake anayofanya katika gym ya garden iliyopo mburahati jijini Dar es salaam amesema yeye amejipanga kwa raundi kumi lakini ata hivyo azitoisha kutokana na ngumi zake kuwa nzito zana na anatarajia kumaliza mpambano mapema hivyo mashabiki wawai mapema kuja kuangalia mpambano wao uho uliovuta hisia kali za mashabiki wa Temeke na Kinondoni

nae mratibu wa mpambano huo wa uzito wa juu Shabani Manyoka amesema kuwa maandalizi yote yamekamilika na wanasubili siku ya mpambano tu ata hivyo ijumaa watapima uzito katika ofisi za chama cha ngumi za kulipwa nchini kinachongozwa na Emanuel Mlundwa ofisi zilizopo DDC Keko Dar es salaam

mpambano huo wa raundi kumi utakuwa ni wa aina yake kwa kuwa kutakuwa na mapambano mengine ya utangulizi ambapo bondia Iddi Mnyeke atapambana na Yonas Sego nae Antony Mathias atakabiliana na bondia chipkizi anaekuja kwa kasi katika ulimwengu wa masumbwi Vicent Mbilinyi wakati Shabani Kaoneka atamkabili Saidi Mbelwa, na Deo Samweli akipambana na Adam Ngange Juma fundi atakabiliana na Bakari Ostadhi na Amani Bariki 'Manny Chuga' atapambana na Mohamed Kashinde 
 
Manyoka aliongeza kwa kusema kuwa siku hiyo kutakuwa na ulinzi wa kutosha ndani na nje ya ukumbi huo ambapo amesha wasiliana na walinzi mbalimbali
siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za ngumi  mabingwa wa Dunia akiwemo Manny Paquaio, Floyd Maywether, Roy Jones,Miguel Cotto,Linox Lewis, David Haye,Mohamed Ali 
na wengine wengi DVD hizo zilizoandaliwa kwa ubora wa hali ya juu zitakuwa zikiuzwa kwenye mpambano huo na Kocha wa Kimataifa wa mchezo huo. Rajabu Mhamila ‘Super D’, alisema kuwa kutakuwa na DVD ili kuweza kuwauzia mashabiki kwa ajili ya kujifunza Kanuni na Sheria za mchezo huo.

BONDIA OMARI KIMWERI ATUA NCHINI NA MWANASOKA WA KIKE WA NCHINI HISPANIA

Bondia Mtanzania anayefanya kazi zake Nchini Australi, Omari Kimweri, (kushoto) akiongozana na mgeni wake mwanasoka wa kike, Melanie Gines ambaye ni raia wa Hispania (wa pili kulia) baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere na kupokelewa na kocha wa mchezo wa masumbwi, Rajabu Mhamila 'Super D' (wa pili kushoto).
Mwanasoka wa kike, Melanie Gines ambaye ni raia wa Hispania (kulia) akipeana mkono na kocha wa masumbwi nchi Rajabu Mhamila 'Super D' baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam, leo mchana.
SUPER D, OMARI KIMWERI NA Melanie Gines. 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...