Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, July 29, 2017

MABONDIA IDD MKWELA VICENT MBILINYI SELEMANI SIMBA NA ROLEN JAPHERT WAENDELEA KUNOLEWA NA SUPER D COACH UHURU GYM

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwiu nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimnowa bondia Idd Mkwela anaeijandaa na mpambano wake wa Agost 12 katika ukumbi wa Manyara Park uliopo Manzese Dar Es salaam Picha na SUPER D

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwiu nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimnowa bondia Idd Mkwela anaeijandaa na mpambano wake wa Agost 12 katika ukumbi wa Manyara Park uliopo Manzese Dar Es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS

Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimwelekeza bondia Vicent Mbilinyi jinsi ya kupiga ngumi za mkunjo wa chini 'upcut' wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Super D Uhuru GYM kariakoo Shule ya Uhuru Dar es alaam Picha na SUPER D BOXING NEWS

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' wa pili kutoka kulia akiwa na mabondia Selemani Simba Vicent Mbilinyi na Idd Mkwela Picha na SUPER D BOXING NEWS

Mabondia Idd Mkela na Rolen Japhert wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde wakati wa mazoezi yanayoiendelea katika kambi ya Super D Coach Uhuru GYM Shule ya Uhuru Kariakoo Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS

KAMBI YA SUPER D COACH UHURU GYM KARIAKOO 

BONDIA IDD MKWELA

SELEMAN SIMBA

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimnowa bondia Selemani Simba wakati wa mazoezi yanayo endelea katika kambi ya Super D Uhuru DGYM Kariakoo Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS

KOCHA WA KIMATAIFA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI RAJABU MHAMILA 'SUPER D' KUSHOTO AKIWA NA MABONDIA SELEMANI SIMBA, VICENT MBILINYI NA IDD MKWELA BAADA YA MAZOEZI

ROLEN JAPHERT

MABONDIA IDD MKWELA VICENT MBILINYI SELEMANI SIMBA NA ROLEN JAPHERT WAENDELEA KUNOLEWA NA SUPER D COACH UHURU GYM

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwiu nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimnowa bondia Idd Mkwela anaeijandaa na mpambano wake wa Agost 12 katika ukumbi wa Manyara Park uliopo Manzese Dar Es salaam Picha na SUPER D

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwiu nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimnowa bondia Idd Mkwela anaeijandaa na mpambano wake wa Agost 12 katika ukumbi wa Manyara Park uliopo Manzese Dar Es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS

IDD MKWELA VS ROLEN JAPHERT

BONDIA IDD MKWELA

IDD MKWELA

BONDIA SELEMAN SIMBA

SELEMAN SIMBA

KOCHA WA KIMATAIFA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI RAJABU MHAMILA 'SUPER D' KUSHOTO AKIWA NA MABONDIA SELEMANI SIMBA, VICENT MBILINYI NA IDD MKWELA BAADA YA MAZOEZI

SUPER D KUSHOTO NA SELEMAN SIMBA

ROLEN JAPHERT

rolen japhert

Monday, July 3, 2017

IBRAHIM CLASS ‘AMSULUBU’ MZUNGU UJERUMANI NA KUBEBA MKANDA

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
BONDIA Mtanzania, Ibrahim ‘King Class’ Mgender usiku wa jana ametwaa taji la GBC uzito wa Light, baada ya kumpiga Jose Luis Forero Atencio wa Panama kwa pointi ukumbi wa Muggelspreehalle, Hangelsberg, Brandenburg Jijini Berlin, Ujerumani.
Hilo linakuwa pambano la sita kwa Forero anayekwenda kwa jina la utani El Tigre kupoteza katika historia yake ya ngumi, akiwa amepigana jumla ya mapambano 20 hadi sasa, akishinda 13, mawili kwa Knockout (KO) na kutoa sare moja.
Ibrahim Class (kulia) akiinuliwa mkono baada ya kushinda pambano lake hilo na kutwaa mkanda wa GBC uzito wa Light nchini Ujerumani 

Ibrahim King Class (kulia) ametwaa mkabda wa GBO usiku wa jana nchini Ujerumani baada ya ushindi wa pointi dhidi ya Jose Ferero kutoka nchini Panama
Kwa Ibrahim Class mwenye umri wa miaka 26, jana ameshinda pambano la 18 kati ya 22 aliyocheza, moja tu ameshinda kwa KO, huku akiwa amepoteza mara nne. 
“Lilikuwa pambano la kukata na shoka, hakika haikuwa kazi rahisi kwangu kuibuka mshindi kwenye pambano hilo, kwani mpinzani wangu Jose Ferero kutoka nchini Panama, alionyesha upinzani mkubwa kwa raundi zote 12 kabla ya mimi kuibuka mshindi kwa pointi na kufanikiwa kutwaa ubingwa wa Light,”amesema Ibrahim Class.
Ushindi wa Ibrahim Class unakuja wiki moja, baada ya bondia mwingine Mtanzania, Francis Cheka kupoteza pambano kwa pointi mbele ya Enes Zecirevic ukumbi wa Salle de Fetes, Le Lignon, nchini Uswisi.

BONDIA IBRAHIMU CLASS ATUA NCHINI NA UBINGWA WA DUNIA

Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akiwasili nchini katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere akiwa na mkanda wa ubingwa wa Dunia alioupata Ujerumani bunaotambuliwa na Global Boxing Council  'GBC' baada ya kumdunda Jose Forero kwa point Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akiwasili nchini katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere akiwa na mkanda wa ubingwa wa Dunia alioupata Ujerumani bunaotambuliwa na Global Boxing Council  'GBC' baada ya kumdunda Jose Forero kwa point kushoto ni bondia shabani kaoneka na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'  Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Ibrahimu Class ambae ni bingwa wa Dunia wa mkanda wa GBC katikati akiwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini  Rajabu Mhamila 'Super D' wakati akiwasili na kanda wa ubingwa wa Dunia katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius Nyerere na kupokelewa na baadhi na mashabiki pamoja na viongozi wa mchezo wa ngumi nchini  Picha na SUPER D BOXING NEWS 

Bondia Ibrahimu Class ambae ni bingwa wa Dunia wa mkanda wa GBC katikati akiwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini  Rajabu Mhamila 'Super D' wakati akiwasili na kanda wa ubingwa wa Dunia katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius Nyerere na kupokelewa na baadhi na mashabiki pamoja na viongozi wa mchezo wa ngumi nchini  Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Ibrahimu Class ambae ni bingwa wa Dunia wa mkanda wa GBC katikati akiwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini  Rajabu Mhamila 'Super D' wakati akiwasili na kanda wa ubingwa wa Dunia katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius Nyerere na kupokelewa na baadhi na mashabiki pamoja na viongozi wa mchezo wa ngumi nchini  Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akiwasili nchini katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere akiwa na mkanda wa ubingwa wa Dunia alioupata Ujerumani bunaotambuliwa na Global Boxing Council  'GBC' baada ya kumdunda Jose Forero kwa point Picha na SUPER D BOXING NEWS

Kocha wa kimataifa wa mchezo w masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akiteta jambo na bingwa wa Dunia wa Mchezo wa masumwi nchini Ibrahimu Class 

Bondia Ibrahimu Class ambae ni bingwa wa Dunia wa mkanda wa GBC katikati akiwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini  Rajabu Mhamila 'Super D' wakati akiwasili na kanda wa ubingwa wa Dunia katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius Nyerere na kupokelewa na baadhi na mashabiki pamoja na viongozi wa mchezo wa ngumi nchini  Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Ibrahimu Class ambae ni bingwa wa Dunia wa mkanda wa GBC katikati akiwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini  Rajabu Mhamila 'Super D' wakati akiwasili na kanda wa ubingwa wa Dunia katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius Nyerere na kupokelewa na baadhi na mashabiki pamoja na viongozi wa mchezo wa ngumi nchini  Picha na SUPER D BOXING NEWS
bondia Ibrahimu Class akiwa na ubingwa wake alipowasili

  1. bondia Ibrahimu Class akiwa na ubingwa wake alipowasili
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...