Thursday, March 15, 2018

BONDIA IDDI MKWERA APAA LATVIA KUPAMBANA MPAMBANO WA UBINGWA MARCH 17

Katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere bondia Idd Mkwera kulia akielekea RiIigs, Latvia kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa wa Dunia wa I.B.A  kushoto ni kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila ,Super D, na Emmanuel Mlundwa ambae ameambatana nae kwenda safari hiyo Mkwera atapanda ulingoni March 17 kuzipiga na Adrejs Podusovs Picha na SUPER D BOXING NEWS


Katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere bondia Idd Mkwera kulia akielekea RiIigs, Latvia kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa wa Dunia wa I.B.A  kushoto ni kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila ,Super D, na Emmanuel Mlundwa ambae ameambatana nae kwenda safari hiyo Mkwera atapanda ulingoni March 17 kuzipiga na Adrejs Podusovs Picha na SUPER D BOXING NEWS

Katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere bondia Idd Mkwera kulia akielekea RiIigs, Latvia kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa wa Dunia wa I.B.A  katikati ni kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila ,Super D, na Emmanuel Mlundwa ambae ameambatana nae kwenda safari hiyo Mkwera atapanda ulingoni March 17 kuzipiga na Adrejs Podusovs Picha na SUPER D BOXING NEWS

Katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere bondia Idd Mkwera katikati akielekea RiIigs, Latvia kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa wa Dunia wa I.B.A  kulia ni kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila ,Super D, na Emmanuel Mlundwa ambae ameambatana nae kwenda safari hiyo Mkwera atapanda ulingoni March 17 kuzipiga na Adrejs Podusovs Picha na SUPER D BOXING NEWS
Na Mwandishi Wetu

BONDIA Idd Mkwera jana ameenda RiIigs/Latvia kwa ajili ya mpambano wake wa kimataifa wa uzito wa kg 61 kupambana na Adrejs Podusovs utakaofanyika March 17 uko Latvia


Mkwera anaenolewa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' amewaomba watanzania kumuombea Duwa kwa wingi ili aweze kufanikiwa kuludi na ubingwa uho nchini mana nia anayo na uwezo wa kushinda anao kwani ana uwezo mkubwa

akizungumza kabla ya kuondoka akiwa uwanja wa ndege Mkwera amewambia watanzania waje kumshangilia wakati anarudi na ubingwa wa kimataifa uwanja wa ndege

bondia huyo ambae amecheza mapambano 8 na kufanikiwa kushinda yote akitoa droo 1 pekee amehaidi kuwa nafasi aliyokuwa akitaka kufika sasa ndio imewadia hivyo ato wangusha watanzania

kwa kuwa anajua watanzania wote wanaitaji kuwa na furaha katika michezo hivyo nitajituma na kuhakikisha naleta ubingwa wa kimataifa nchini na kujiweka katika viwango vya kimataifa zaidi ili niweze kulitetea taifa langu zaidi mniombee Duwa alisema Mkwela