Burudan Mwanzo - Mwisho
Thursday, November 18, 2021

BONDIA RAMADHANI MIGWENE AMUWEKEA MIKWALA ALBANO CLEMENT BAADA YA KUKIMBIWA NA HABIBU PENGO

›
BONDIA RAMADHANI MIGWEDE baada ya kukimbiwa na mpinzani wake Habibu Pengo aliesaini nae kuzipiga mara ya kwanza sasa amebadilishiwa mpinzan...
2 comments:
Monday, October 11, 2021

BONDIA RAMADHANI MIGWEDE ASAINI KUZIPIGA NA HABIBU PENGO OKTOBA 12 AWAITA MASHABIKI WA CHANIKA KUJITOKEZA SIKU HIYO

›
NA MWANDISHI WETU BONDIA RAMADHANI MIGWEDE amesaini mkataba wa kuzipiga na Habibu Pengo Novemba 12 mpambnano wa raundi kumi utakaofanyika j...
Monday, October 4, 2021

DULA MBABE ULINGONI TENA OKTOBA 9 P.T.A SABASABA CHEKA NDANI NAE SIKU HIYO

›
DULA MBABE ULINGONI TENA OKTOBA 9 P.T.A SABASABA CHEKA NDANI NAE SIKU HIYO NA MWANDISHI BONDIA ABDALLAH PAZI 'DULLA MBABE' atapanda...
1 comment:
Monday, August 30, 2021

BONDIA IBRAHIMU CLASS AMTAMBIA NASSIBU RAMADHANI KUWA SEPTEMBA 24 ATAMPIGA KWA K,O

›
    NA MWANDISHI WETU   BONDIA Ibrahimu Class ‘king Class Mawe’ amesema kuelekea katika mpambano wake na Nasibu Ramadhani Septemba 24 atokuw...
Tuesday, August 3, 2021

MABONDIA CLASS NA NASSIBU WAPIGWA PINI NA SUPER D BOXING PROMOTION

›
    NA MWANDISHI WETU PROMOTA wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' amewapiga pini mabondia Ibrahimu class na Nasibu...

SUPER D AWACHONGANISHA TENA IBRAHIMU CLASS NA NASIBU RAMADHANI KUZIPIGA SEPTEMBA 24

›
  Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akiwanyoosha mikono juu mabondia Nasibu Ramadhani kushoto na Ibrahim...
Thursday, June 17, 2021

HAMADI FURAHISHA KUZIPIGA NA KOCHA WAKE GODFREY POLINO JUNE 27 KIFA MBURAHATI

›
  HAMAD FURAHISHA BONDIA HAMAD FURAHISHA ambaye ya sasa ameingia katika ngumi za kulipwa kwa mara ya kwanza june 27  atapanda ulingoni kuzic...
Saturday, January 25, 2020

SUPER D AMUANDAA SUNDAY KIWALE KWA USHINDI WA K,O JANUARY 31 TANGA ATAKAPOZIPIGA NA YOHANA MCHANJA

›
Na Mwandishi Wetu KOCHA wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' ambaye kwa sasa anamnowa bond...
2 comments:
Friday, September 27, 2019

BONDIA MAKUBI ATAMBA KUMPIGA ABDALLAH MA MOROGORO OKTOBA 4 KATIKA UKUMBI WA 361 MWENGE

›
Na Mwandishi wetu  Bondia Ibrahim Makubi yupo kambini kwa ajili ya mazoezi yake ya kumkabili bondia abdallah kingolwira  wa ( morog...

BONDIA JUMA CHOKI SASA AWAZIA UBINGWA WA TAIFA BAADA YA KUWA KING OF THE RING

›
NA MWANDISHI WETU BONDIA Juma Choki Baada ya kumgalagaza bila ya huruma Emanuel Mwakyembe na kuchukua ubingwa wa King Of The R...
1 comment:

NGUMI KUPIGWA IJUMAA OKTOBA 4 UKUMBI 361 MWENGE

›
NGUMI KUPIGWA IJUMAA OKTOBA 4 UKUMBI 361 MWENGE Mabondia wa mgumi za kulipwa nchini walioibuka na ushindi wanatarajia kushiriki ka...
Saturday, September 14, 2019

MABONDIA JUMA CHOKI NA EMANUEL MWAKYEMBE WAPIMA UZITO KUPIGANA KESHO SEPTEMBA 15 MASAKI

›
Bondia Juma Choki akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Emanuel Mwakyembe utakaofanyika katika ukumbi wa Backet Lounger Septe...
Tuesday, September 10, 2019

JUMA CHOKI AJIFUA KUMKABIRI MWAKYEMBE SEPTEMBA 15

›
Bondia Juma Choki kushoto akioneshana umwamba na bondia wa Kimataifa ambaye alishawai kuishi nchini Marekani miezi takribani 8 kwa ...
Friday, July 26, 2019

MABONDIA TWAHA KIDUKU NA TSHIBANGU KAYEMBE KUZIPIGA KESHO JULAI 27 ESCAP ONE

›
Promota Kaike Siraju katikati akiwainua mikono juu mabondia Twaha Kiduku kushoto na Tshibangu Kayembe kutoka Kongo baada ya kupima ...
Friday, July 19, 2019

SUPER D ATAMBA KUWA CHOKI HATACHUKUWA UBINGWA WA MASHINDANO YA KING OF THE RING 2019

›
Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akioneshana umwamba na Juma Choki wakati wa Mazozi  yanayoendelea katika kambi ya Super D iliyopo sh...
1 comment:

JUMA CHOKI AJIANDAA NA MASHINDANO YA KING OF THE RING JULAI 28

›
Bondia Ibrahimu Makubi kushoto akioneshana umwamba na Juma Choki wakati wa Mazoezi  yanayoendelea katika kambi ya Super D iliyopo s...
Saturday, June 29, 2019

NGUMI KUPIGWA JULAI 7 CHANIKA MAGENGE MBEGU AHAIDI MAMBO MAKUBWA

›
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi Nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimwelekeza bondia Ramadhani Mbegu 'M...

SUPER D AMNOWA RAMADHANI MBEGU 'MIGWEDE' KUPAMBANA JULAI 7 CHANIKA MAGENGE

›
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi Nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimwelekeza bondia Ramadhani Mbegu 'M...
1 comment:
Thursday, June 20, 2019

SUPER D KUWAPAMBANISHA ABDUL ZUGO NA RAMADHANI MBEGU SIKU YA SABASABA DAY CHANIKA

›
Na Mwandishi Wetu Baada ya tamba mbalimbali za hapa na pale sasa mabondia Abdul Zugo na Ramadhani Mbegu' Migwede' watazipig...

NGUMI KUPIGWA CHANIKA SIKU YA SABASABA 2019

›
›
Home
View web version
Powered by Blogger.