Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, October 11, 2021

BONDIA RAMADHANI MIGWEDE ASAINI KUZIPIGA NA HABIBU PENGO OKTOBA 12 AWAITA MASHABIKI WA CHANIKA KUJITOKEZA SIKU HIYO

NA MWANDISHI WETU BONDIA RAMADHANI MIGWEDE amesaini mkataba wa kuzipiga na Habibu Pengo Novemba 12 mpambnano wa raundi kumi utakaofanyika jijini Dar es salaam akizungumza na wahandishi wa habari kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' amesema kuwa Migede kasaini mkataba uho mbele ya katibu wa kamisheni ya ngumi za kulipwa Yahya Poli mpambano utakaofanyika mwanzoni mwa mwezi ujao bondia huyo mwenye maskani yake chanika nje kidogo ya jiji la Dar es salaam atapambana na Pengo mpambano ambao utakuwa autabiliki kwani mabondia wote hawo wana uzoefu mkubwa katika mchezo wa masumbwi mbali na uzoefu waliokuwa nao pia wamekuwa wakiwapa vipondo wapinzani wao kadri wakutanapo nao ulingoni ambapo bondia migwede hivi karibuni alimchakaza vibaya tena bila huruma bondia keis ally kwa k,o ya raundi za awali nae Pengo amekuwa tishio katika kipindi cha hivi karibuni kwani alikuwa akicheza mapambano makubwa na yenye msisimko zaidi na kufurahisha mashabiki awapo ulingoni Pengo mwenye mashabiki luluki katika kitongoji cha mabibo na viunga vyake vya jirani amewataka wapenzi wa mchezo wa masumbwi kuja kuangalia mchezo uho bila ya kukosa nae Migwede amesema alikuwa anamtafuta sana Pengo kwa udi na uvumba hivyo kwa sasa kaingia katika choo cha watoto hivyo kaingia katika 18 zangu hivyo nawaomba mashabiki wake wote wajitokeze kwani siku hiyo atafanya atakachotumwa na mashabiki zake wa chanika pamoja na vitongoji vya jirani hivyo wasikose kuja

1 comment:

  1. Kwa miaka mingi, nilipambana kimyakimya ukosefu wa usalama kwa sababu ya ukubwa wangu. Iliniondolea kujiamini, kudhoofisha uhusiano wangu, na kuniacha nikijihisi si mwanaume. Kisha nikakutana na Dk. Dawn - zawadi ya kweli kutoka kwa ulimwengu. Kwa uwezo wake wa ajabu wa kiroho, mabadiliko yangu yalikuwa zaidi ya kile nilichoamini kuwa kingeweza kutokea. Leo, ninajivunia, ninajiamini, na nimeridhika kabisa. Dk. Dawn hakubadilisha ukubwa wangu tu - alirudisha heshima yangu na kunipa maisha mapya ya furaha

    Jisikie huru kuwasiliana naye kwa usaidizi,
    Ukitaka kukuza uanaume wako,
    *Kama unataka kutibu figo/moyo/maambukizi yako.

    *Kama unataka kupata mimba au kutibu ugumba.

    *Ukitaka kumrudisha mpenzi wako, mume/mkeo.

    *Ukitaka kumvutia mtu katika maisha yako. Mpya / Mpenzi wa zamani.

    *Ikiwa unataka kushinda kesi za bahati nasibu/ Curt, au kupata pesa au mali zako.

    Yake, barua pepe dawnacuna314@gmail.com

    WhatsApp yake: +2349046229159

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...