Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, September 27, 2010

SIKINDE YATOA NYIMBO MBILI MPYA

Mkaanga chips wa sikinde akikunguta Drams
Wasanii wa sikinde wakitumbuiza kushoto ni Hassani Kunyata na Mjusi Shemboza
Wasanii wa bendu ya Sukunde wakiwaburudisha wapenzi wao kushoto ni Yusufu Bernad na John Ngosha

waumbaji wa bendi ya sikinde ngoma ya ukae wakiwajibika wakati wa onesho lao lililofanyika katika ukumbi wa DDC Kariakoo Dar es salaam jana kushoto ni Shabani DEde na Hassani Rehani Bichuka

MSONDO NGOMA YAWAAGA MASHABIKI WA TCC WAELEKEA KUSINI WIKI HII



n

Saturday, September 25, 2010

WASHINDI 9 TAYARI WAMESHAJINYAKULIA MILIONI 9 NA SUPA PESA!


Bahati naisbu ya SUPA pesa iliyozinduliwa mwanzoni wa wiki hii imepamba moto pale ambapo washindi 9

Wamejishindia Tsh. Milioni 1 kila mmoja.

Washindi hao ni:

1. Mr. Emmanuel Mutafurwa

Mwenye simu namba: 0713 335 541 begin_of_the_skype_highlighting 0713 335 541 end_of_the_skype_highlighting

Mkazi wa Mbagala ,Dar es Salaam

2. Mr. Samwel Ndobe

Mwenye simu namba: 0713 232 348 begin_of_the_skype_highlighting 0713 232 348 end_of_the_skype_highlighting

Mkazi wa Airport Road, Dar es Salaam

3. Mr. Phlician Massao

Mwenye simu namba: 0784 893 012 begin_of_the_skype_highlighting 0784 893 012 end_of_the_skype_highlighting

Mkazi wa Arusha

4. Mr. Godwin Madelemo

Mwenye simu namba: 0717 585 406 begin_of_the_skype_highlighting 0717 585 406 end_of_the_skype_highlighting

Mkazi wa Kiwalani Airport , Dar es Salaam

5. Mr. Slitus Shilima

Mwenye simu namba: 0714 978 499 begin_of_the_skype_highlighting 0714 978 499 end_of_the_skype_highlighting

Mkazi wa Ubungo, Dar es Salaam

6. Mr. Hasnain Khakoo

Mwenye simu namba: 0784 616 499 begin_of_the_skype_highlighting 0784 616 499 end_of_the_skype_highlighting

Mkazi wa Tanga

7. Miss Irene Mwakingiri

Mwenye simu namba: 0715 708 033 begin_of_the_skype_highlighting 0715 708 033 end_of_the_skype_highlighting

Mkazi wa Mwanasali Street Magomeni, Dar es Salaam

8. Miss Helen Mathias

Mwenye simu namba: 0784 471 736 begin_of_the_skype_highlighting 0784 471 736 end_of_the_skype_highlighting

Mkazi wa Arusha

9. Mr. Cletus Shirima

Mwenye simu namba: 0754 957 426 begin_of_the_skype_highlighting 0754 957 426 end_of_the_skype_highlighting

Mkazi wa Ubungo, Dar es Salaam

Kumbuka kila Ijumaa Supa pesa itakuwa na droo ya kumtafuta mshindi mmoja atakayejinyakulia shilingi milioni kumi kwa wale ambao watakuwa wametuma ujumbe zaidi ya mara nne kwa wiki

Tuma neno SUPA yaani “S” “U” “P” “A” kwenda namba 15777 sasa na wewe unaweza kuwa mshindi wa mamilioni kutoka SUPAPESA.

Kila ujumbe utatozwa shilingi 500 pamoja na VAT

Huduma inapatikana kwa wateja wa VODACOM, ZAIN, TIGO na ZANTEL

Vigezo na masharti kuzingatiwa.

USIPOTEZE MUDA, SHINDA NA SUPA PESA!

ZAIN TANZANIA YASHEREHEKEA SIKU YAO YA FAMILIA




Wafanyakazi wa Kampuni ya ZAin TAnzania wakichukua chakula wakati wa siku ya familia ya kampuni hiyo Dar es salaam






Msanii wa kuchora Aisha Suleiman akimchora mtoto wa meneja mahusiano wa Kampuni ya Zain Tanzania Muganyizi Mutta katikati wakati wa siku ya familia iliyofanyika Dar es salaam

USIKU WA KANGA ZA KALE 2010


ASIA IDAROUS FABAK FASHIONS WANAKULETEA (USIKU WA KANGA ZA KALE-2010 ) SIKU YA IJUMAA TAREHE 1 OCTOBA NDANI YA UKUMBIE WA DIAMOND JUBILEE VIP HALL NA BURUDANI YA JAHAZI MODERN TAARAB KWA UDHANIMI WA TUSKER LAGER, MICHUZI BLOG, ANTELOPE TOURS, VAYLE SPRING, EVENTLIGHTS, MYRIAD, BIG SOLUTION, CHANNEL TEN, MAGIC FM, CLOUDS FM, MLIMANI TV, TBC1, I-VIEW PHOTOGRAPHY, SHEAR ILLUSION, NEW HABARI CORPORATIONS, MICHUZIJR BLOG, FULL SHANGWE, 8020 BLOG, ABAYA CENTER, NA GEMA SOUND. NI ONYESHO LA MAVAZI YA KANGA NA VIONJO VYAKE.

NYOTA WAIMBAJI WA TAARAB KAMA KHADIJA KOPA, RUKIA RAMADHAN, SABAH MUCHACHO NA BABY MADAHA WA BSS WATATUMBUIZA PAMOJA NA HAYO WABUNIFU WA MAVAZI PAMOJA NA MASTAR KIBAO WATAPANDA JUKWAANI KUONYESHA MAVAZI YA KANGA.

MADHUMUNI YA ONYESHO HILO NI KUKUZA HADHI YA KANGA KWA NI MOJA YA VAZI LA UTAMADUNI KWA MTANZANIA, KIINGILIO NI 10,000 NA 20,000 KWA VITI MAALUMU, PIA MAVAZI YATAUZWA NA VIONJO VYAKE BAADA YA SHOW.

KARIBUNI NYOTE AKINA MAMA NA AKINA BABA TUFURAHI KWA PAMOJA NA UKIPENDA UJE NA VAZI LA KANGA ASANTENI.

KWA MAWASILIANO KAMA UNATAKA KUUZA KANGA ZAKO AU VIONJO VYAKE PIGA SIMU NO 0713263363 AU 0784263363.

--
Cathbert Angelo Kajuna,
Journalist/Photojournalist,
PRIME TIME PROMOTIONS
(KITANGOMA MAGAZINE)
Plot No 18-21, Block C, Mikocheni
P.O Box 4156,
Dar es Salaam.
Tel: +255 713 797 465
Alt: +255 787 999774
www.michuzijr.blogspot.com

CORPORATE GOLF DAY YAMALIZIKA JANA








Dk. Mohamed Gharib Bilal afanya kampeni Bukoba


Mke wa Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM Bi Zakia Bilal, akicheza wimbo wa kabila la Kihaya na Msanii Bahati Ibrahim, aliyekuwa akitoa burudani wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Mashujaa wa Mayunga Mjini Bukoba leo
Mgombea Mwenza wa Urais Kupitia tiketi ya CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akifurahia staili za msanii mlemavu, Athuman Yunus, aliyekuwa akicheza ngoma ya kabila la Kihaya, wakati wa mapokezi yake alipokuwa akiingia Kijiji cha Ruzinga Kanyigo Wilaya ya Misenyi Mkoa wa Kagera kufanya mkutano wa kampeni leo
Mgombea Mwenza wa Urais Kupitia tiketi ya CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akimvisha kofia yake msanii mlemavu, Athuman Yunus, baada ya kufurahishwa na staili zake za uchezaji wa ngoma ya kabila la Kihaya, wakati wa mapokezi yake alipokuwa akiingia Kijiji cha Ruzinga Kanyigo Wilaya ya Misenyi Mkoa wa Kagera kufanya mkutano wa kampeni leo.

Friday, September 24, 2010

CHEKA KOBA AFURAHIA ZAWADI MBALIMBALI



Bi, Amina Mwinyimvua akimtunza binti yake, Cheka Koba, cherehani baada ya kuitimu mafunzo ya ufundi wakati wa sherehe ya yake iliyofanyika katika kota za Polis Koreji Dar es salaam

Dk. BILAL AVUNA KADI LUKUKI ZA WAPINZANI KAYANGA, BUKOBA


Mgombea Mwenza wa urais kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduxi CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akipokea kadi za waliokuwa wanachama wa Vyama vya TLP, CHADEMA na CUF waliotoka katika Kata mpya ya Lukula, ambao walifika katika mkutano wa kampeni uliofanyika Kijiji cha Mabila Wilaya ya Karagwe Mkoa wa Kagera jana Sept 23, ambapo jumla ya wanachama 144 kutoka vyama vya upinzani walitarajia kurejesha kadi zao na 14 kati yao walikabidhi kadi hizo kwa mgombea mwenza.

MAKOCHA WA MCHEZO WA MIKONO WAHITIMU MAFUNZO






Makocha wa mpira wa mikono wakiwa katika picha ya pamoja na Katibu msaidizi wa utamaduni kutoka ubalozi wa Ujerumani Susanne Bohn-Borozan baada ya kumaliza mafunzo yao Dar es salaam leo
Katibu msaidizi wa utamaduni kutoka ubalozi wa Ujerumani Suusanne Bohn-Borozan (kushoto) akimkabidhi cheti, Justice Joseph wakati wa kuitimu mafunzo ya mpira wa mikono kwa makocha yaliyomalizika Dar es salaam leo katikati ni Mkuu wa shule ya jitagemee, Meja Michael Mntenjele

Peter Mwenda (Buyoya) atimiza miaka 50 (Nusu Karne)


MIMI ni mzaliwa wa kijiji cha Masange wilaya ya Kondoa kabila langu Mrangi ni baba wa watoto watano wa kiume na mke mmoja Elizabert John Mwenda (40) kutoka mkoa wa Mbeya.

Nilifunga ndoa na mke wangu mwaka 1992 katika Kanisa Katoliki Parokia ya St. Joseph, Jimbo Kuu la Dar es Salaam wakati huo tukiwa na watoto wawili Joseph (Tiria) na John.

Naishi Kitunda, Kivule wilaya ya Ilala nikifanya kazi ya uandishi kampuni ya Business Times katika gazeti la Majira.

Ni muumini wa kanisa Katoliki ambako mwaka huu nilichaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Utume Wanaume Katoliki (UWAKA) katika Parokia Mpya ya Kitunda.

Nimepita katika vikwazo vingi vya maisha ikiwemo kuumwa kwa zaidi ya miaka mitatu nikisumbuliwa na magonjwa mbalimbali (siyo UKIMWI) namshukuru Mungu kunivusha katika mitihani hiyo sasa nimepona.

Kilikuwa kipindi kugumu kwa familia, ndugu, majirani, waandishi wenzangu wengine waliniombea nipone, wengine walikata tamaa kwa hali niliyokuwa nayo na wengine walikaa kusubiri kusikia simu ikipigwa kuwapa taarifa ya kifo na wengine kunitangaza nimeathirika.

Wote hao nina wapenda kwa sababu kila unapoishi usifikiri kila mmoja anao upendo wa dhati na wewe,ishi ukijua kuwa nafsi yako ndiyo itakuokoa mbele ya Mungu na

Thursday, September 23, 2010

ZE COMEDY SHOW YA EATV KUANZA LEO

WAHABARISHAJI WA MICHEZO WAKIWA WAMEPOZI

BILAL AMALIZA KAMPENI MKOA WA KIGOMA




Mgombea Mwenza wa Urais kupitia tiketi ya CCM, Dk. Mohamed Gharib, akisalimiana na wananchi wa Kijiji cha Kanazi baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Luganzo uliopo Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera jana Sept 22, ambapo leo ameanza ziara ya mikutano ya kampeni katika mkoa huo

Zantel yatoa msaada kituo cha wazee



Na Mwandishi wetu


VITUO vya kulelea wazee vya Zanzibar ambavyo vinahudumiwa na Serikali kupitia mpango wa kitengo cha Ustawi wa Jamii vimepata msaada wa sh. mil.1.5 kutoa Kampuni ya Zantel.

Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Zantel ilieleza vituo hivyo ambavyo vina wazee 100 vimegawanyika katika sehemu mbili na vinahudumiwa na Walezo Sister Mary Lucy Ngunju na Bw. Khamis Salum ambaye ni mwakilishi wa wazee hao.

Ilieleza makabiziano hayo yalishuhudiwa na Mkurugenzi wa Masoko wa Zantel Zanzibar Bw.Ibrahim Attas na Meneja Masoko Bw.Yusuf Ismail.

Zantel walisaidia kituo hicho mchele, unga ,sukari , maziwa , mafuta ya kupikia, maharage, nguo kama kanga na vingine .

Zain yaimwagia mapesa Bongo Star Search


KAMPUNI ya simu za mkononi Zain imeingia mkataba kudhamini kwa muda wa miaka mitatu mashindano ya kusaka vipaji kupitia luninga yanayofahamika kama Bongo Star Search yanayoandaliwa na kampuni ya Benchmark kwa pesa za kitanzania Sh, Milioni 100.

Akizungumza na waandishi wa Habari Dar es Salaam jana, Meneja masoko wa Zain Kelvin Twissa alisema lengo la kudhamini mashindano hayo ni kutaka kuinua hali ya maisha ya vijana ili watimize ndoto zao walizojiwekea.

'Sisi kama vinara wa soko la mawasiliano hapa nchini, kushjiriki kwetu katika jitihada hizi za kusaka vipaji zinazoendeshwa na Benchmark ni kutaka kubadili maisha ya vijana kwa kuwapa uelekeo.," alisema Twissa.

Alisema katika kipindi ncho cha miaka mitatu kuanzia sasa kampuni hiyo imepania kuyaboresha mashindano hayo na kuyafanya yaonekane katika kiwango cha kimataifa ili kuijengea sifa Tanzania na eneo lote la Afrika mashariki.

Akifafanua zaidi Twissa alieleza kuwa udhamini huo unalenga kumpa mwanga kila mshiriki na ili ajivunie kushiriki kwake katika mashindano hayo ambayo yanapata umaarufu katika kila kona ya nchi.

Naye Mkurugenzi wa Benchmark Production Rita Paulsen alisema udhamini wa Zain katika mashindano hayo umeleta sura mpya na kuahidi kuvifanyia kazi vigezo vilivyokatika mkataba wao ambapo ameyaomba na kuahidi kuyaongezea msukumo zaidi na uzito.

LIVE CONCERT


Msanii wa muziki wa Injili, John Lisu kushoto akipiga gita mbele ya waandishi wa habari Dar es salaam jana wakati wa kutambulisha tamasha la Sifa zivume live concert litakalofanyika katika ukumbi wa mlimani City jumapili kulia ni Safari Paul katikati ni Mratibu wa onesho hilo, John Kagaruki
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...