Marquee
tangazo
Monday, July 25, 2011
Thursday, July 21, 2011
TDL. YAZINDUA MPANGO WA KUMSOMESHA MTOTO WA MKULIMA WA ZABIBU MJINI DODOMA LEO!!
Hatimaye G mwanaaaa akamilisha ndoto yake
Gervas Mbwiga aka G mwana weekend iliyopita alitimiza ndoto yake ya kumuoa Kipenzi chake cha siku nyingi sanaaa na MTANGAZAJI maarufu wa kipindi cha ‘Mitikisiko ya Pwani’ kinachorushwa hewani kupitia kituo cha radio cha Times FM, Khadija Shaib ‘Dida. Sherehe hizo zilifanyika ukumbi wa New Msasani Club jijini Dar es Salaam, na kuhudhuriwa na watu kibao kutoka pande mbalimbali za jiji.TOTO ZE BINGWA NA SHARAMA WAZUNGUMZIA UZINDUZI WA ALBAMU ZAO UTAKAOFANYIKA JULY 23
VIDEO YA MIAKA 50 YAZINDULIWA RASMI
GRAND MALT YATOA MSAADA WA VIFAA VYA MICHEZO VYA SH. M. 10 KWA TIMU YA BARAZA LA WAWAKILISHI
HAPO ZAMANI (HII ILIKUWA NI MWAKA 2000).
TOTO ZE BINGWA KUZINDUA ALBAM YA MAMBO HAIELEWEKI JULY 23
Airtel Yagawa Madawati kwa shule Mwanza
Katika kauli iliyotoleawa na kampuni ya Airtel Tanzania kupitia Meneja Biashara Kanda Ziwa Ally Maswanya alisema”Airtel imedhamiria kusaidia shule kwa kutoa vifaa vya mbalimbali ikiwepo vya kufundishia ili kuahakikisha elimu bora inatolewa kwa wanafunzi na jamii kwa ujumla. Tunatambua elimu ndiyo ufunguo wa mafanikio hivyo basi tunashirikiana na wizara ya elimu katika kuinua kiwango cha elimu sio Mwanza tu bali Tanzania kwa ujumla. Airtel itaendelea kusaidia mashule kwa kutoa vitabu na madawati ikiwa ni sehemu ya shughuli zetu za kusaidia jamii, nia yetu ni kuwafikia shule nyingi zaidi katika mikoa yote ya Tanzania alioongeza.
Akiongea wakati wa shughuli ya kugawa vitabu iliyofanyika Kanyaye Secondary katika wilaya ya ilemela, meneja wa shughuli za kijamii, Tunu Towo Kavishe alisema, tunaelewa uhaba wa madawati na vifaa vya kufundishia na tunaongeza nguvu zetu kusaidia sekta ya elimu, Airtel Tanzania inatoa fulsa sawa kwa shule zote katika mikoa yote nchini na kuhakikisha misaada tunayotoa inawafikia wanafunzi nchini kote. Leo Airtel inatoa msaada wa madawati 50 kwa shule ya sekondari Kanyaye.
“Tunayo malengo ya dhati kabisa katika kusaidia kuinua kiwango cha elimu hapa nchini na kuhakikisha kinaongezeka, hasa kupitia upatikanaji wa vitabu kwa wanafunzi wa shule za sekondari. Tangu tulipoanza mpango wetu wa kusaidia vitabu kwa shule mbali mbali za sekondari hapa nchini, takribani miaka saba iliyopita, tumeshazifikia zaidi ya shule za sekondari tofauti zipatazo 800 nchini na leo tunathibitisha dhamira yetu ya kusaidia mashule kwa kutoa madawati kanyaze secondari”, alisema Kavishe
Kampuni ya simu ya Airtel imekuwa mstari wa mbele katika kuchangia sekta ya elimu hapa nchini.
Naibu Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya New Habari (2006) Danny Mwakitereko Apata Ajali Jijini Dar
WAZIRI MKUU NA MATUKIO BUNENI DODOMA L EO
MATUKIO BUNGENI DODOMA LEO
VODACOM KUWAPA RAHA WABUNGE IJUMAA HII
Mafunzo ya walimu wa awali yaliyotolewa na kampuni ya uchapishaji wa vitabu nchini ya Long man
Baadhi ya Walimu kutoka jijini Dar es Salaam waliohudhulia mafunzo ya siku tatu ya Uwezeshaji wa Walimu wa awali wa shule za Msingi yanayoendelea katika Taasisi ya Elimu Tanzania wakijifunza kwa vitendo Mafunzo hayo yamedhaminiwa na kampuni ya uchapishaji wa vitabu nchi ya Pearson Long Man
.Mmoja wa Walimu kati ya 90 waliohudhuria mafunzo ya siku tatu ya Uwezeshaji wa walimu wa shule za msingi jijini Dar es Salaam,Getruda John kushoto akimwonyesha Mratibu wa Elimu ya Awali Clarence Mwinuka wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi wa pili kulia ni fisa mwandamizi wa Mauzo na Masoko wa kampuni ya Long Man,Belinda Mafuru mafundho hayo yamedhaminiwa na Kampuni ya Uchapishaji wa vitabu nchini ya Pearson Long Man. Tuesday, July 19, 2011
AISHA MADINDA ATAMBULISHWA KUTUA JUKWAA LA EXTRA BONGO
Naye Aisha Madinda, akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutambulishwa rasmi, alisema kuwa ameamua kutua jukwaa la Extra Bongo ili kuweza kuungana na wacheza shoo wenzake wenye uzoefu ambao anaamini nao wametua jukwaa hilo kulingana na uzoefu wa wanamuziki wanaounda bendi hiyo.














