Friday, May 14, 2010

ASHANTI YAPANIA KUINUA MCHEZO WA NGUMI ILALA




Mabondia wa klabu ya Ashanti ya Ilala Dar es salaam wakiendelea na mazoezi kwa ajiri ya kujiandaa na mashindano ya klabu bingwa yanayotarajiwa kufanyika hivi karibuni kushoto ni Mohamed Hemed na Joseph Richard.(Picha na Rajabu Mhamila)

No comments:

Post a Comment