Friday, May 21, 2010

LUKUVI AONESHA VYANDARUA VITAKAVYOGAWIWA BULEE


Mkuu wa MKoa wa Dar es salaam Bw. William Lukuvi akiwaonesha waandishi wa habari vyandaruwa vitakavyogawiwa kwa watoto wa chini ya miaka mitano ambapo kwa sasa zoezi la uwandikishwaji wa watoto unaendelea amapo mwishoni mwa mwezi uhu vyandarua hivyo vitaanza kugawiwa bule kwa watoto hawo kulia ni Meneja,Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Malaria DKT.Alex Mwita

No comments:

Post a Comment