Monday, May 17, 2010
UDSM MABINGWA WA MCHEZO WA POOL KWA VYUO VYA ELIMU YA JUU DAR ES SALAAM
Mabingwa wa kihistilia wa mchezo wa pool kwa vyuo vikuu vya Elimu ya juu DUSM wakiinuwa kikombe chao baada ya kukabidhiwa Dar es salaam jana
Mchezaji wa timu ya CBE ,Elick Mwakibinga akijitaarisha kupiga mpira wakati wa mashindano hayo jana
Baadhi ya viongozi wa mchezo wa pool wakipanga jinsi fainal zitakavyochezwa
Mchezaji wa tatu bora Shukrani Kawogo akikabidhiwa kitita cha pasa taslim,50,000 kutoka kwa Naibu Waziri mwenye dhamana ya michezo Joel Bender
Katibu Mkuu wa Mchezo wa pool Tanzania akiteta jambo na Naibu Waziri mwenye dhamana ya michezo Joel Bendera, wakati wa fainali za mchezo wa pool kwa vyuo vikuu vya DAr es salasam
Waandishi wakishughudia mchezo wa pool uliomalizika dar es salaam jana kulia ni Victoria Mkumbo na
No comments:
Post a Comment