Sunday, May 16, 2010

ZANTEL YAENDELEA KUMWAGA TIKETI KOMBE LA DUNIA



Mshindi wa Droo ya pili ya Dondoka Sauz na Hyundai na Zantel Bw. Said Hamad Shehe (kulia)kuttoka Zanzibar akikabishiwa tiketi yake ya kuangalia mechi ya robo fainali ya kombe la dunia na Meneja Mauzo ya Kampuni wa Zantel Zanzibar Bw. Mohammed Mussa (kushoto). Katikati ni Menaja Masoko wa Hyundai Bi. Edna Mapande.

No comments:

Post a Comment