Thursday, May 27, 2010
ZANTEL/HYUNDAI WAKABIDHI TIKETI YA KOMBE LA DUNIA KWA MSHINDI LEO
ZANTEL HYUNDAI WAKABIDHI TIKETI KWA MSHINDI LEO
Mshindi wa tiketi ya kuangaria nusu fainal ya kombe la Dunia A.kusini,Anandumi Mbise kushoto akikabidhiwa tiketi na Ofisa wa Masoko na Matangazo Edna Alimwike anaeshuhuudia ni Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya simu ya Zantel, Ikechukwu Kalu na oFISA WA hyundai, Antony Nyeupe wakati wa makabidhiano ya tiketi iliyofanyika Dar es salaam
Mshindi wa tiketi ya kuangaria nusu fainal ya kombe la Dunia A.kusini,Anandumi Mbise kulia akiwa na Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya simu ya Zantel, Ikechukwu Kalu wakati wa makabidhiano ya tiketi iliyofanyika Dar es salaam leo
Mshindi wa tiketi ya kuangaria nusu fainal ya kombe la Dunia A.kusini,Anandumi Mbise akiwa na mfano wa tiketi yake baada ya kushinda katika promosheni ya 'Dondoka Sauzi Zantel/ HYUNDAI na kukabidhiwa makao makuu ya Zantel Dar es salaam
Na Rajabu Mhamila
Kampuni ya simu ya mkononi ya Zantel kwa kushirikiana na Kampuni ya HYUNDAI jana imemkabidhi mshindi wa tano wa promosheni ya Dondoka Sauz inayoratibiwa na kampuni hizo mshindi huyo Anandumi Mbise amekabidhiwa tiketi yake baada ya kuwa mshindi wa droo ya siti iliyochezeshwa wiki iliyopita
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukabidhiwa tiketi yake ya kwenda kushuudia nusu fainali za kombe la Dunia nchini Afrika ya Kusini amesema mim i ni mmoja ya kati ya watu wenye baati kubwa sana ulimwenguni mana kombe hili linakuja Afrika kwa mara ya kwanza na mimi ni mmoja ya watu watakaoshughudia
Nae Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Zantel, Ikechukwu Kalu kuwa droo zetu zinaendelea tena (leo) jana na kuwataka wateja wa Zantel kuzidi kutuma MSG kwa wingi ili kujiwezesha kushinda safari ya kwenda kuangalia kombe la Dunia mbali na hilo pia katika
Droo kubwa ambayo itakuwa ya mwisho mwenye bahati yake ataweza kujinyakulia gari mpya kabisa kutoka HYUNDAI kampuni hizi ziliungana kuanzisha promosheni hii kuwapa wapenzi wa mpira wa miguu nchini
Kushiriki kushabikia mashindano makubwa ya kihistoria ambayo yatawaachia kumbukumbu nzuri maishani mwao hii pia nifurusa ya kuwashukuru na kuwazawadia wateja wetu kwa uaminifu na ushirikiano wao alisema Kalu,
No comments:
Post a Comment