Mdau sikuwa nyuma katika kupata kumpa pole mdau mwenzangu
mpiga picha wa gazeti la Tanzania Daima Josefu Senga akisalimiana nae
Mpiga picha wa magazeti ya Daily news/habari leo Bw. Athuman Khamis akiwa na wadau mbalimbali wa habari baada ya kufanya mazungumzo nao ya kuwashukuru watanzania kupitia vyombo vya habari kwa maombezi yao wakati wa matibabu yake A.Kusini kufuatia ajari aliyoipata
No comments:
Post a Comment