Wednesday, June 9, 2010

EXIM BENKI YAKABIDHI VITANDA MKOA WA MBEYA


Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim, Bi. Sabetha Mwambenja (katikati) akimkabidhi

Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya, Bi. Beatha Swai (kushoto), kitanda cha kujifungulia huku Mkurugenzi wa PSI Tanzania, Bi. Mary Mwanjelwa akishuhudia Dar es Salaam jana. Benki hiyo imetoa msaada wa vitanda nane vyenye thamani ya sh. milioni 8.5 kwa Hospitali zote za Wilaya za mkoa huo

No comments:

Post a Comment