Mkurugenzi wa TBL Robin Goetzsche (wa kwanza kushoto), Meneje wa bia ya Ndovu Special Mart, Oscar Shelukindo (wa pili kutoka kushoto) na Mpishi mkuu wa TBL Mzee Gaudence Mkolwe wa (pili kulia) wakionenya tuzo ambayo, Bia ya Ndovu imepata tuzo hiyo huko nchini ujerumani, na yalifanyika mapokezi makubwa jioni hii katika viwanja vya TBL.
(Picha kwa hisani ya http://fullshangwe.blogspot.com
Meneja wa Bia ya Ndovu akilonga jambo na wafanyakazi wa TBL na Waandishi wa Habari jioni hii katika viwanja vya TBL muda mfupi mara baada ya kuwasili toka nchini Ujerumani.Pembeni ni Walimbwende waliopamba mapokezi hayo.
Picha kwa hisani na http://mjengwa.blogspot.com/
No comments:
Post a Comment