Sunday, June 27, 2010

WANAFUNZI WA KIKE WAJENGEWA UWEZO WA MASOMO YA SAYANSI



MARIAM MNANGWA MMOJA KATI YA WANAFUNZI 130 WALIOKUWA KATIKA KAMBI MAALUM KWA AJILI YA MASOMO YA SAYANSI KWA WANAFUNZI WA KIKE KUTOKA MIKOA YA PWANI NA MOROGORO AKIWAONESHA WENZAKE MATOKEO YA MAJARIBIO WALIOKUWA WAKIFANYA. LENGO LA KAMBI HIYO NI KUWAJENGEA UWEZO WANAFUNZI WASICHANA KUPENDA NA KUFANYA VIZURI KATIKA MASOMO YA SAYANSI, KAMBI HIYO ILIFANYIKA KATIKA SHULE YA SEKONDARI KILAKALA MKOANI MOROGORO

MWALIMU PRUDENCIANA NDUMWA AKITOA MAELEKEZO KWA BAADHI YA WANAFUNZI WA KIKE WALIOKUWA KATIKA KAMBI YA MAALUM YA SAYANYASI KWA AJILI YA WANAFUNZI WASICHANA 135 KUTOKA SHULE MBALIMBALI ZA MIKOA YA PWANI NA MOROGORO, LENGO LA KAMBI HIYO NI KUWAJENGEA UWEZO WANAFUNZI WASICHANA KUPENDA NA KUFANYA VIZURI KATIKA MASOMO YA SAYANSI, KAMBI HIYO ILIFANYIKA KATIKA SHULE YA SEKONDARI KILAKAL MKOANI MOROGORO

No comments:

Post a Comment