Friday, October 1, 2010

Kutana na Malkia wa Bambataa Sophia Kessy anayekerwa na muziki wa nyumbani kufa


Malkia Sophia Kessy akiwa Studio za Clouds FM katika kipindi chake maarufu cha Afrika Bambataa.

===========================

Muziki wa dansi ni moja ya sanaaa kongwe sana Tanzania hii, lakini kwa miaka ya karibuni bendi nyingi zimekufa na hakuan bendi mpya, wengi wanasema hii imekotaka na kuimarika kwa muziki wa kizazi kipya na muziki wa Congo pia umeliteka soko letu.

Kutaka kujua hili Blog ya Spoti na Starehe imefanya mahojiano na MAlkia wa Bambataa Sophia Kessy anayeendesha kipindi maarufu cha Afrika Bambataa, kipindi murua kinachorushwa na Radio Clouds FM ya jijini Dar Es Salam Malkia Sophia Kessy pamoja na maisha yake binafsi alipata kujadili kwa kina kuhusu muziki huu, Fatilia mahojiano hayo kujua zaidi kuhusu binti huyu safari ya maisha yake binafsi na kama mtangazaji. kwa kugonga hapo chini.

http://spotistarehe.wordpress.com

http://othmanmichuzi.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment