Thursday, November 4, 2010
OFISI YA KATA YA KIWALANI YACHOMWA MOTO
Mjumbe wa Balaza la Usuruishi wa Kata ya Kiwalani Bw. Jesephart Mkude akionesha waandishi wa habari maeneo ya ofisi ya kata ilivyo ungua kwa moto usiku wa kuamkia leo ambapo ilichomwa na watu wa siojulikana kutokana na sababu za itikadi za kisiasa
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment