Marquee
tangazo
Friday, December 10, 2010
SIKU YA HAKI ZA BINADAMU YAAZIMISHWA LEO
Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda akibonyeza kitufe kuashilia uzinduzi wa mfumo wa kisasa wa hupatikanaji habari matatizo haki za binadamu Dar es salaam jana wakati wa mahadhimisho ya Tume ya haki za Binadamu jana kushoto ni Mwenyekiti wa tume ya haki za bunadamu, Jaji Amir Manento kulia ni ofisa wa tume hiyo Bw. Lamson Lazaro na Mkuu wa Kitengo cha kompyuta wa tume hiyo Bw. Wilfred Warioba
Mwimbaji wa kikundi cha kwaya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, Justine Mandia akiimba wakati wa maadhimisho ya haki za binadamu Dar es salaam
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment