Wednesday, April 6, 2011
ZANTEL YAPUNGUZA GHARAMA ZA HUDUMA YA INTANETI
ntaneti kwa kasi zaidi na tunaweza kukidhi mahitaji ya kampuni za wateja binafsi.
Huduma ya intaneti imeacha kua huduma ya wachache wenye uwezo na imekua kitendea kazi muhimu kwa biashara na ni muhimu kwa maisha ya kawaida.
Tunataka kuunganisha kila mtu kutoka shuleni, hospitalini, asasi za kiserikali, jeshini, ofisi za kibalozi, kampuni binafsi, biashaKAMPUNI ya simu za mkononi Zantel imepunguza kwa asilimia 50 kiunganishi cha intaneti 'modem' kutoka Sh.49,900 hadi Sh.25,000 sawa na asilimia 50.
Kaimu Mkurungenzi Masoko wa Zantel Bw.Brian Karokola alisema punguzo hilo la asilimia 50 ni mbinu zinazotumiwa na Zantel ili kuhakikisha asilimia kubwa ya watu wanapata viunganishi vya intaneti 'modems'.
“Zantel tunaongoza kwenye suala ya huduma ya intaneti na daima tunahakikisha tunaboresha huduma zetu pamoja na mtandao. Kwa sasa tunaboresha mtandao wetu ili uwafikie wananchi wengi zaidi kwa wale walio nje ya miji mikubwa.
Alisema Mtandao wa intaneti wa Zantel (CDMA) unapatikana mikoa 20 , Tanzania Bara na Zanzibar, na Ujio wa mkonga wa masiliano wa bahari wa EASSy utaleta upatikaji mkubwa wa intaneti na inatarajiwa kuleta unafuu wa bei kwa kila mtu.
"Zantel ina fahari kubwa kuwa mstari wa mbele katika juhudi za kuhakikisha upatikanaji wa huduma za intaneti unafikia Tanzania nzima," alisema
“Kama wa mmoja wa wabia wakubwa wa mkonga wa mawasiliano wa bahari wa EASSy, tuna uwezo mkubwa wa kutoa huduma bora zaidi za ira na wanaotumia huduma hii nyumbani kwao.” Alimalizia Bw. Karokola
No comments:
Post a Comment