Mgeni rasmi katika mkutano wa siku 3 wa kujadili uwazi na uwajibikaji katika bajeti kwa nchi za Afrika Mashariki ambae pia ni Waziri wa Afrika Mashariki Samweli Sitta wa tatu kulia akijadili jambo na Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali Ludovick Utouh. Wengine ni Mwenyeketi wa kamati ya Bunge ya Fedha na Uchumi Abdalah Kigoda wa kwanza kulia, Mbunge wa Bariadi na mwenyeketi wa kamati ya Bunge ya Hesabu Za Serikali John Cheyo wa pili kulia wakiwa katika mkutano wa siku tatu wa kujadili uwazi na uwajibikaji katika bajeti za nchi za Afrika Mashariki leo asubuhi katika ukumbi wa Ubungo Plazza. |
No comments:
Post a Comment