Mwendelezo wa Msimu wa Dhahabu na Serengeti Fiesta tayari umepamba moto katika uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya, ambapo wasanii mbalimbali tayari wamepanda jukwaani na kufanya mambo makubwa katika jukwaa la Serengeti Fiesta jioni hii. Watu wengi wanaonekana kuwa wenye furaha na wanaojisikia Majotroo kwelikweli katika tamasha hilo linalodhaminiwa na kampuni ya bia ya Serengeti SBL, kwani wamekuwa na mzuka wa kweli wakati wotw wa tamasha hilo.
Mashabiki wa muziki wa mjini Mbeya wakiwa wamepata Majotroo kama unavyowaona wakiwa wanacheza kwa staili tofauti ili mradi kujipa raha.
, Hapa anaonekana mwimbaji wa muziki wa Hiphop Prof. Jay akiimba nyimbo zake, kama vilee piga makofi katika tamasha hilo llililovutia watu wengi.




No comments:
Post a Comment