Thursday, October 13, 2011

Maadhimisho ya (UWT) na miaka 50 ya uhuru - Mara






MKE WA RAIS NAMWENYEKITI WA TAASISI YA WAMA MAMA SALMA KIKWETE AKIVISHWA SKAFU NA CHIPUKIZI ALIPOWASILI OKT,12,2011 KATIKA UWANJA WANDEGE WA MUSOMA MKOANI MARA AMBAPO NDIE MGENI RASMI KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA UWT NA MIAKA 50 YA UHURU,(KULIA) NI MAKAMU MWENYAKITI WA UWT TAIFA ASHA BAKARI- PICHA NA MWANAKOMBO JUMAA-MAELEZO.

MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE NA MWENYEKITI WA TAASISI YA WAMA AKIKABIDHI KWA MWAKILSHI WA KITUO CHA AFYA CHA BUTIAMA MARCELINA MAGANA BAADHI YA VIFAA VYA HOSPITALI VILIVYOTOLEWA NA UWT TAIFA KWA HOSPITALI HIYO,VIFAA HIVYO NI PAMOJA NA PAMPU MOJA KUBWA YENYE UWEZO WA KUSAMBAZA MAJI ENEO LOTE LA HOSPITALI YA BUTIAMA NA MATENIKI YA KUHIFADHIA MAJI , (PICHANI KATI) NI MPYA WA MKOA WA MARA JOHN TUPA, (PICHA NA MWANAKOMBO JUMAA-MAELEZO,

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara Makongoro Nyerere akimtambulisha Mama Fatma Karume kwa wakazi wa Butiama wakati ujumbe wa viongozi wa UWT pamoja na waasisi wake walipotembelea katika kituo cha afya cha Butiama ambapo kwaniaba ya UWT Taifa Mke wa Rais mama Salma Kikwete alikabidhi vifaa mbalimabli ikiwemo pampu kubwa moja ya maji,matenki ya kuhifadhia maji, na sabuni, (Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO),

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na wafanyakazi na wauguzi wa kituo cha afya cah Butiama mkoani Mara, ((okt,12,2011) Picha na Mwankombo Jumaa-MAELEZO.

Ngoma ya asili ikichezwa katika kituo cha afya Butiama,

Baadhi ya watoto wagojwa walolazwa katika kituo cha afya Butiama wakiwa wodini na wazazi wao

No comments:

Post a Comment