Mwandishi kutoka Kituo cha Star TV akalazimika kufanya mahojiano na kikundi kilichokwama kufanya mkutano ndani ua Ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO.
Baazi ya wapagazi wakiwa wamesimama kidogo katika zoezi linaloendelea la kutoa vitendea kazi vya MAELEZO Dar es Salaam leo zoezi ambalo linaendeshwa na NHC la kuwatoa kwa nguvu wadeni wao.Ofisa wa Shirika la Nyumba akiomwonyesha mwandishi wa habari kutoka gazeti la Majira Mohammed Mambo karatasi iliyokuwa ikionyesha kiasi cha kodi wanachodaiwa MAELEZO na NHC.
No comments:
Post a Comment