
Trinita hakuna kinachoshindikana chini ya jua, lakini vyote vinaitaji mipango madhubuti ili kufikia malengo... mambo yakiwa mabaya upande wako basi ujue ndio muda wa kujipanga na kufikiria kilichotokea ili usirudie makosa kwa kile unachotarajia kufanya ungana na wasanii Lucy Komba, Angel Dominic na Hemed Kavu katika filamu hiyo uone nini kilichotokea







mchanga na keni kisa hiki cha mchanga na keni tunaona jinsi gani matumidhi ya ardhi yanavyotumiwa vibaya kiasi keni anajikuta anathiri vitu vilivyomo kwenye mchanga na kuzua maafa makubwa katika kitongoji cha tabata barakuda mto msimbazi. fuatilia hadidhi hii upate utamu zaidiii ungana nao Juma Kilowoko, Wastara juma, Salim Ahmed na wengine wengi
Mtegoni kazi ya jicho ni kuona na sikio kusikia, lakini hawa hawakuliona hili wala kutaka kuisikia, ingawa macho na masikio walikuwa nayo. huu ni mtego ambao umewanasa wengi na utaendelea kuwanasa wengi wengineo. fuatilia uhalisia wa kauli hii ndani ya filamu ya Mtegoni ungana nae
ed mzula baba yusufu mlele mwenye binti mmoja wa kike anajikuta kwenye wakati mgumu. anaitaji pesa kwa ajili ya tiba ya binti yake wakati huo huo kulipa pesa afichiwe siri yake. atafanya nini kufanikisha haya ungana na Yusuph Mlela, Shamsa Ford na Hemed Suleiman katika red mzula
No comments:
Post a Comment