Friday, November 18, 2011

KOZI YA MAKOCHA WA NGUMI MKOA WA PWANI YAOTA MBAWA






Baadhi ya makocha wa mchezo wa ngumi wakiwa Kibaha Mkoa wa Pwani kwa ajili ya kuuzuria kozi ya makocha iliyotarajia kuanza jumamosi ya kesho
ata hivyo kozi hiyo iliota mbawa baada ya mkufuzi alieteuliwa na chama cha ngumi cha dunia (AIBA) kupata dharura kozi hiyo iliyoandaliwa na kamati
ya Olimpic (TOC) iliota mbawa na kufanyika k

wa makocha hawo kutojua hatma yao baada ya kufika Pwani bila kupewa stahiki zao walizoaidiwa katika
barua ikiwemo usafiri wa kwenda na kurudi pamoja na chakula ambavyo awajapatiwa na kujitafutia usafiri kwa njia yao wenyewe kurudi mikoani
kwao.(Picha na http://www.superdboxingcoach.blogspot.com/)





Makamu wa Rais wa Shirikisho la ngumi za Ridhaa NChini (BFT), Michael Changalawe (kulia) akizungumza na makocha wa ngumi nchini wakati
walipowasili, Kibaha Mkoa wa Pwani Juzi kwa ajili ya kozi ya mchezo huo na kuambiwa kozii hiyo iliyoandaliwa na kamati ya Olimpic (TOC) imealishwa
kutokana na mkufuzi wake alieteulia kupata dhalura hata hivyo, makocha hao kutoka mikoa mbalimbali ya nchi walinyimwa stahiki zao hususani
maradhi na posho za nauli za kuwaludisha mikoa walikotoka na kupatiwa kwa makocha wachache tu kinyume na barua walizopewa makocha ya kuwa
watalipiwa garama zote za kwenda na kuwarudisha mikoani kwao.(Picha na http://www.superdboxingcoach.blogspot.com/)

No comments:

Post a Comment