Friday, November 11, 2011

Maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru ya sekta ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia


Fundi wa kampuni ya simu Tanzania (TTCL), Issa Mohamed akionyesha simu ya kuzungumsha kwa mkono iliyokuwa ikitumika mwaka 1973 wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru ya sekta ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia yaliyomalizika leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam . Kushoto ni Mhandisi, Dominick Ngandama na Ofisa Uhusiano wa TTCL, Amanda Luhanga.

Baadhi ya watu waliofika maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru ya sekta ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia wakuapata maelezo kati
Ofisa Mkongo wa Taifa, Thomas Lemunge akionyesha ramani inayoonyesha mikoa iliyounganishwa na mkongo wa taifa.
Simu za Mezani zilizotumika enzi hizo
Fundi wa TTCL, Issa Mohamedi akionyesha Simu za kisasa
Ofisa Biashara wa TTCL Adam Issah akitoa maelezo kuhusu huduma wanazozitoa

No comments:

Post a Comment