Wednesday, November 9, 2011

MAHADHIMISHO YA WIZARA YA KAZI NA AJIRA YAFUNGULIWA MNAZI MMOJA

Waziri wa Kazi na Ajira Bi. Gaudensia Kabaka akijaza fomu ya uwanachama


Waziri wa Kazi na Ajira Bi. Gaudensia Kabaka (kulia) akimkabidhi tuzo kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa Mashirika ya Umma (PSPF) Bw. Adam Mayingu wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru ya wizara hiyo na wiki ya hifadhi ya jamii Dar es salaam jana

1 comment:

  1. NATUMA MAWAZO YANGU MOJA KWA MOJA KWA WAZIRI WA KAZI NA AJIRA GAUDENCIA KABAKA.SIJUI KAMA ANA HABARI KUWA WAFANYAKAZI HUKU MITAANI TUNAISHIJE.UMEACHA MLANGO WAZI KWA WATU KUTOKA NCHI ZA JIRANI KUJA KUTUCHUKULIA NAFASI ZETU, MNATAKA TUENDE WAPI?.HUTAAMINI NI MAPAMBANO DHIDI YA KUPIGANIA NAFASI CHACHE ZA KAZI ZILIZOPO NCHINI NA HASA WAKENYA.MAISHA HAYA YATAENDELEA HADI LINI? KIBAYA ZAIDI WANATUKEJELI KUWA KWAO HATA KAZI YA KUUZA NYANYA SISI HATUWEZI KUPEWA.NIAMBIE TU WIZARA YAKO INASIMAMIA NINI HASA IKIWA MATATIZO HAYA HUYAONI?.MAZINGIRA MNAYOTENGENEZA MWISHO WAKE NI KWAMBA RAIA WATAKUWA OMBAOMBA NA WENZETU WANAJENGA MIJI YA KWAO HADI LINI? NAKEREKA MNO, SIMAMIA NAFASI YAKO MAMA MNACHANGIA SANA KUUDIDIMIZA UCHUMI WA NCHI NA KUTUGANDAMIZA SISI.

    ReplyDelete