Sunday, January 8, 2012

Njia za kulimaliza tatizo la upungufu wa nguvu za kiume





TATIZO la nguvu za kiume linaonekana kukua kwa kasi huku wengi wakiwa hawajui nini la kufanya. Kati ya wale ambao wanasumbuliwa na tatizo hilo ni vijana, hali inayofanya baadhi yao kubaki katika kitendawili wakijiuliza nini hasa kinasababisha wanakuwa katika hali hiyo.

Kuna kesi nyingi za wanaume kukimbiwa, sababu mojawapo ni baadhi yao kutokuwa na uwezo ambao mwanaume anapaswa kuwa nao, yaani kuwa imara. Wapo ambao kwa sababu ya tatizo hili, wamejikuta wanalazimika hata kujiua au kuchukua hatua yoyote mbaya.Lakini ukweli ni kuwa msingi wa maisha yenye mafanikio si kujiua wala si kujilaumu kwa kusumbuliwa na tatizo fulani, bali kuchukua hatua ili ulishinde tatizo hilo.


Tangu umezaliwa hadi leo umesumbuliwa na matatizo mangapi? Bila shaka ni mengi, na suluhu ya matatizo si kujiua, kujipa adhabu kwa kutokula ama kujilaumu kwa kuzaliwa, bila shaka hayo hayana msaada.


KWANINI KASI YA WANAUME KUWA NA TATIZO HILI INAONGEZEKA?

Ziko sababu nyingi, lakini zilizo kuu ni hali ya maisha, kwa maana ya mabadiliko makubwa ya matumizi ya vyakula, kwa mfano zamani wengi walikuwa wakitumia vitu vya asili, sasa wengi wanatumia vyakula vya kiwandani ambavyo kwa bahati mbaya baadhi yake havina ubora.Badala ya kutumia juisi za kutengeneza kwa kutumia maembe kutoka mashambani, wengi wananunua juisi za viwandani ambazo baadhi yake ni mchanganyiko wa rangi usio na faida yoyote katika mwili.

Tatizo hili pia linatokana na ulaji usiofaa na usiofuata misingi ya afya bora; wengi wanakula ili tumbo limejaa, si wengi ambao wanaangalia kwanza chakula kabla ya kula. Ukweli ni kwamba kila chakula kina msaada wake, vingine vinasaidia mafuta, vingine nguvu, chuma na kadhalika.Lakini pia tafiti nyingi zinaonyesha kuwa wengi wanaolalamikia kupungukiwa nguvu za kiume, hawajui hasa sababu na nini wafanye. Lakini ukweli ni kuwa baadhi yao wana tatizo hili kwa sababu wenzi wao si wenye kuwasaidia, si wajuzi.


Ndio kusema kama mwanaume anasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume, ni vizuri kuangalia limeanza lini, na kwanini. Wakati fulani wanawake kwa kauli zao zisizo za ushirikiano na matendo yao, yaweza kuwa ni sababu mojawapo ya kusababisha wanaume kutokuwa na nguvu katika tendo.Maana utakuta wanawake wengine wanawaambia waume zao “haya unataka, njoo basi nataka kuwahi au hutaki niondoke”…kauli kama hii haitii raha. Pia wengine hawana ushirikiano, yuko tu kama hayuko.


Raha ya ndoa haiko hivi, ni lazima mshirikiane vizuri, si ndio jamani? Raha ya ndoa ujuzi.Kwa bahati mbaya baada ya ndoa, si wengi ambao wanaendelea na ubunifu, tena kuna wengine ukiwaambia leo twende na ubunifu wa aina hii utasikia “eeeh weee unataka kunivunja kiuno mwenzako, haya mambo ya vijana haya”. Je, hali ya ndoa yako ikoje?



Mapenzi yanahitaji usafi, lakini wapi bwana kuna mwingine ukiwa naye unaomba Mungu akuachie haraka….ananuka, hakuna maandalizi, anakuvamia bora hata kuku atacheza huku atacheza kule.
Kwa bahati mbaya zaidi kuna wengine wakiambiwa ukweli utasikia wanasema kwa nyodo, aaah bwana eeeh wafuate hao wanaojua!Ndugu yangu raha ya ndoa mpate muda wa kucheza, kuzungumza mazuri na kuonyeshana upendo wa dhati, ikiwa ni pamoja na kutimiza mazuri mliyoahidiana wakati mnaingia kwenye ndoa.

Sio wanaume wengi wenye sababu za kibaiolojia zinazowafanya wakose nguvu za kiume, isipokuwa wengi wao huwa na matatizo ya kisaikolojia zaidi ambayo wahusika wanaweza kujiponya nayo bila hata kutumia dawa za miti shamba.


Kuna sababu kadhaa za wanaume kuwa na tatizo la nguvu za kiume kama vile matatizo ya kisaikolojia, kuwahi kujichua, baadhi ya matatizo ya magonjwa ya moyo, kisukari, shinikizo la damu, magonjwa ya zinaa, unene wa kupita kiasi, umri mkubwa, ulevi, kuacha mazoezi na ulaji usiofaa.


Kimsingi ziko tiba za mchanganyiko wa vyakula, lakini pia ili kuondoa tatizo wakati unaendelea na tiba kama ambavyo nimewahi kuzitaja katika matoleo kadhaa yaliyopita, unapaswa kufanya mazoezi na kula vyakula, vinywaji vyenye nguvu ili kujipa nguvu zaidi.


Pia kama mwanaume ameishi na mwanawake kwa muda mrefu na amekuwa na desturi ya kufanya mepenzi mara kwa mara katika mazingira yale yale anaweza kukumbwa na kasoro hiyo.


kwa msaada wa kusovu tatizi lako

DAWA YA NGUVU ZA KIUME NA MSIMKO KWA WANAWAKE WASIO NA HAMU YA TENDO LA NDOA AMBAYO HULETA MSISIMKO KWA WANAUME NA WAKE WAKUTANAPO.KWA SASA INAPATIKANA KWA BEI NAFUU HAPA JIJINI DAR ES SALAAM MAKUTANO YA MTAA WA KIPATA NA BARABARA YA MSIMBAZI
ALLY WA YANGA BOMBA UHURU NA MSIMBAZI 0787230551 AU 0652755838


PIGA NO O713827689, 0755074505 , au 0719 541366
,0652755838 UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM

BUGURUNI LOZANA STENDI YA TAX ULIZIA ADAMU KIBANDANI 0755875884

KARIAKOO SHULE YA UHURU STENDI YA MABASI YA TANDIKA ULIZIA ZUNGU MUHUZA TIKETI 0712743870

NA UKIWA ILALA SHARIF SHAMBA FIKA DSJ BANDA NAMBA 14 SIMU 0718718671

NA UKIWA KOTA ZA BANDARI KARIAKOO FIKA MKUNGUNI KIBANDANI KWA HUSEIN 0753893295

MWANANYAMALA FIKA JABA KLABU ULIZA MACHELLAH 0713470492

ENZOY INALETA HESHIMA

No comments:

Post a Comment