Sunday, January 29, 2012

UZINDUZI WA JUMUIYA YA KUZUIA KUKINGA NA KUONDOSHA MAJANGA ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na wanajumuiya na wananchi waliohudhuria katika uzinduzi wa Jumuiya ya kuzuia,kukinga na kuondosha Maafa na Majanga Zanzibar (DCPM) kwa njia ya Mtandao,katika ukumbi wa Zanzibar Grand Palace Hotel,Malindi Mjini Unguja jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akikata utepe kuzindua kitabu Maalum kuhusu jumuiya wakati wa uzinduzi wa Jumuiya ya kuzuia,kukinga na kuondosha Maafa na Majanga Zanzibar (DCPM) kwa njia ya Mtandao,katika ukumbi wa Zanzibar Grand Palace Hotel,Malindi Mjini Unguja jana,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akionesha vitabu baada ya kuvizindua wakati wa uzinduzi wa Jumuiya ya kuzuia,kukinga na kuondosha Maafa na Majanga Zanzibar (DCPM) kwa njia ya Mtandao,katika ukumbi wa Zanzibar Grand Palace Hotel,Malindi Mjini Unguja jana.(kulia) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Jumuiya hiyo Najima Murtadha Jiga,na (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk
Ali Mohamed Shein,akipeana Mkono wa Shukurani na Mjumbe wa Bodi ya Jumuiya ya (DCPM) Hassan baada ya uzinduzi wa Jumuiya ya kuzuia,kukinga na kuondosha Maafa na Majanga Zanzibar kwa njia ya Mtandao,katika ukumbi wa Zanzibar Grand Palace Hotel,Malindi Mjini Unguja jana.
Baadhi ya wadau mbali mbali na wanajumuiya,pamoja na wananchi walioalikwa katika uzinduzi wa uzinduzi wa Jumuiya ya kuzuia,kukinga na kuondosha Maafa na Majanga Zanzibar (DCPM) kwa njia ya Mtandao,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza baada ya kuizindua jumuiya hiyo,katika ukumbi wa Zanzibar Grand Palace Hotel,Malindi Mjini Unguja jana. Picha na Ramadhan Othman IKULU.

No comments:

Post a Comment