
Waimbaji wa bendi ya Msondo ngoma ambao ni Vijana wa Kazi mwanzo mwisho wakitoa burudani wakati wa bonanza lao linalokuwepo kila jumamosi katika viwanja vya sigara kutoka kushoto ni Hassan Moshi, Eddo Sanga na Juma Katundu.(Picha na
www.burudan.blogspot.com
Baadhi ya wadau wa msondo ngoma pia ni waandishi wa habari wakiburudika na burudani zilizokua zikitolewa na bendi ya msondo ngoma baba ya muzikikutoka kushoto ni Victor Makinda,Hadija Khalili na Juma Kasese.(Picha na
www.burudan.blogspot.com)

Msanii wa bendi hiyo Romani Mngande akiimba

Mpiga Drams wa bendi ya msondo ngoma Sady Ally akiwajibika wakati wa bonanza la kila jumamosi katika viwanja vya sigara.(Picha na
www.burudan.blogspot.com)

Ibrahimu Kandaya akipiga gita la bess
No comments:
Post a Comment