Monday, March 5, 2012

HAKUNAGA KAMA USIKU WA HIP HOP DAR LIVE!






Msanii wa Hip Hop Bongo, Fid Q, akitumbuiza.


Joh Makini na G Nako wakiwa kazini.


Profesa Jay akipagawisha.


Mmoja wa ‘Kina Rihanna’ aitwaye Babro, akitetea nafasi yake.


‘Rihanna mwingine’ akiwa kazini.


Mmoja wa majaji wa shindano hilo, Baby Madaha (katikati), akiwanadi ‘kina Rihanna’ kwa mashabiki wamchague mmoja aendelee.


Washiriki wanane waliofaulu kuendelea kwenye shindano hilo.


Mkurugenzi wa Kampuni ya Global Publishers Ltd na mmiliki wa Ukumbi wa Dar Live, Eric James Shigongo, akiongea jambo kabla ya zoezi la utoaji tuzo za wasanii wa Hip Hop kuanza.


Msanii wa Hip Hop Bongo, John Mkoloni (kushoto), akikabidhi tuzo kwa mwakilishi wa familia ya Vivian, huku akishuhudiwa na Shigongo.


Mkoloni akikabidhi tuzo nyingine kwa mtoto wa marehemu Complex.


Msanii wa Hip Hop, Joh Makini (kulia), akimkabidhi tuzo mwakilishi wa Father Nelly (kushoto), tukio lililoshuhudiwa na Shigongo.


Profesa Jay (kulia), akikabidhi tuzo kwa familia ya marehemu DJ Kim. Wanaoshuhudia ni mdogo wa DJ Kim na Shigongo.


DJ Choka (kulia), akikabidhi tuzo hiyo kwa mwakilishi wa GWM.


‘Juma Nature’, (kushoto), akikabidhi tuzo kwa mwakilishi wa Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, anayeshuhudia ni Shigongo.


Shigongo akiwa amembeba mtoto wa marehemu Complex.

No comments:

Post a Comment