
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Yahya Khamis Hamad,kuwa Katibu wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar,leo baada ya kumteuwa kushika nafasi hiyo,hafla ya kiapo ilifanyika Ikulu Mjini Zanzibar.{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.} 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la  Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Luteni Kanali Mohamed  Mwinjuma Kombo,kuwa Mkuu wa Kikosi cha Valantia  Zanzibar,leo baada  ya kumteuwa kushika nafasi hiyo,hafla ya kiapo ilifanyika Ikulu Mjini  Zanzibar.{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.}  
 
No comments:
Post a Comment