Friday, March 16, 2012

SHULE YA MSINGI GILMAN RUTIHINDA WAKABIDHIWA JENGO MAALUM KWA AJILI YA WALEMAVU

Balozi wa heshima wa bangladesh Bw; Sadrudin Shariff akikata utepe leo kuashiria makabidhiano rasmi ya jengo maalumu kwa ajili ya watoto wenye walemavu wa akili katika shule ya msingi ya Gilmani Rutihinda iliyopo katika kata ya Kigogo mansipaa ya Kinondoni jijini Dar es salaam, pembeni yake kushoto ni Bw. Brad Morrow mfadhili wa jengo hilo.kushoto ni Bi Rose Rupia mwenyekiti wa kikundi chakuwasadia watoto wenye walemavu wa akili Kulia afisa wa elimu wa mansipaa ya Kinondoni akifutilia kwa umakini zoezi hilo (PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)
Mwenyekiti wa kikundi cha kusaidia watoto wenye walemavu wa akili Bi Rose Rupia akisoma lisala wakati wa makabiziano ya jengo hilo.
Mkurugenzi wa (IESC) Bw. Brad Morrow akisisitiza jambo katika hafla ya makabidhiano jengo maalum kwa ajili ya watoto wenye walemavu wa akili.
Mgeni rasmi Bw Sadrudin Shariff akitoa hotuba katikati akitoa hotuba kwa wageni waliodhuria hafla ya makabidhiano ya jengo hilo kushoto Bw. Brad Morrow, akifutiwa Bi Rose Rupia mwenyekiti, kulia katikati mwalimu mkuu Bi Esther Mwambapa na mwisho kulia ni Bi Flora Petro mratibu wa elimu kata ya Kigogo.
Baadhi ya wazazi waliodhuria kushudia makabidhiano ya jengo hilo.
Bw. Sadrudan Shariff mbele katikati akiwa kwenye picha ya pamoja na wanakikundi baada ya mabidhiano ya jengo hilo.

No comments:

Post a Comment