Meza  Kuu wakigonganisha chupa kuashilia uzinduzi wa muonekano mpya wa Bia ya  Balimi Extra Lager  Mkoani Shinyanga jana.Kutoka kulia ni Meneja Masoko  wa TBL, Fimbo Butallah,Meneja mauzo wa Kanda, Malaki Sitaki, Mkuu wa  Wilaya ya Shinyanga,Amina Masenza, Meneja mauzo wa Mkoa wa Shinyanga,  Robert Michael na Meneja wa Bia ya Balimi Extra Lager, Edith Bebwa
Meneja  wa Bia ya Balimi Extra Lager, Edith Bebwa akizungumza na wageni  waalikwa wakati wa uzinduzi wa muonekano mpya wa Bia ya Balimi Extra  Lager Mkoani Shinyanga jana. 
   Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Amina Masenza(kulia) akizungumza na wageni  waalikwa wakati wa uzinduzi wa muonekano mpya wa Bia ya Balimi Extra  Lager Mkoani Shinyanga jana.Kushoto ni Meneja wa Bia ya Balimi Extra  Lager, Edith Bebwa na Meneja mauzo wa Mkoa wa Shinyanga, Robert Michael.
Meneja  wa Bia ya Balimi Extra Lager, Edith Bebwa (katikati) akiwa kwenye picha  ya pamoja na wakina Dada walioshona sare za Balimi Extra Lager wakati  wa uzinduzi wa muonekano mpya wa Bia ya Balimi Extra Lager Mkoani  Shinyanga jana.
No comments:
Post a Comment