Tuesday, April 17, 2012

MISS UKONGA WAANZA KUJIFUA KUMSAKA MKALI WAO WA 2012


Warembo wanaotarajia kupanda jukwaa kuwania taji la Miss Ukonga 2012, wakiwa katika pozi la picha ya pamoja katika kambi yao ya mazoezi iliyopo Banana jijini Dar es Salaam. Kitongoji cha Ukonga ndio kitafungua pazia la Mashindano ya Miss Tanzania mwaka huu. Picha zote na Father Kidevu
Washiriki wa shindano la Miss Ukonga wakimsikiliza mkufunzi wao Jaquline Chua akiwapa nasaha na kuwafundisha jinsi ya kujiamini wawapo jukwani.
Mazoezo ya dansi yakiendelea.
Songi la Kihindi.....
Warembo wakifanya mazoezi ya kucheza mziki wa ufunguzi wa show yao. hakika warembo hawa ni wajuzi.
Baadhi ya warembo wakimwangalia mwezao aliyekuwa akifanya mazoezi ya kutembea

No comments:

Post a Comment