Monday, April 23, 2012

MISS UKONGA WAJIFUA


 Baadhi ya warembo wanaoshiriki shindano la kumsaka Malikia wa Kitongoji cha Ukonga jijini Dar es Salaam wakiwa katiika picha ya pamoja wakati wakiendelea na mazoezi yao ya kujiandaa na shindano hiklo jana. Shindano la Miss Ukonga linataraji kufanyika Mei 5,2012 katika ukumbi wa Wenge Garden-Ukonga Mombasa.
Baadhi ya warembo wanaoshiriki shindano la Miss Ukonga 2012 wakimsikiliza msanii nguli wa Filamu na Maigizo nchini, Single Mtambalike "Rich Rich" wakati alipokuwa akizungumza nao jana katika kambi yao ya mazoezi jijini Dar es Salaam.Shindano la Miss Ukonga linataraji kufanyika Mei 5,2012 katika ukumbi wa Wenge Garden-Ukonga Mombasa.

No comments:

Post a Comment