Sunday, April 15, 2012

Nabaki Africa Ltd wakabidhi zawadi

Meneja mauzo wa Nabaki Africa Bw;Jeff Kayton akiongea na waandishi wa habari leo katika makao makuu ya Nabaki Africa Ltd jijini Dar es salaam wakati akikabidhi zawadi ya vocha yenye thamani ya shilingi laki moja na hamsini katika droo ya shindano la shinda paa kutoka nabaki africa mwezi wa pili na watatu ambapo washindi ni Bw; Isaack Limo na Kasty Shirima .kulia kwake katikati ni Afisa masoko Bi Adelina Lashekya wa kwanza kulia mshindi wa shindano hilo Bw; Isaack Limo.
Afisa masoko Bi Adelina Lashekya akitoa ufafanuzi kuhusiana na shindano hilo
PICHA NA PHILEMON SOLOMON

No comments:

Post a Comment