Tuesday, April 24, 2012

SHIRIKA LA NYUMBA NHC LAZINDUA UUZAJI WA NYUMBA ZA MCHIKICHI ILALA


Mkurugenzi wa biashara na maendeleo ya shirika la nyumba (NHC) Bw. David Misonge (katikati) akiongea na waandishi wa habari leo katika hoteli ya New Africa jijini Dar es Salaam juu ya uzinduzi wa uuzwaji wa nyumba katika mradi wake mpya  wa mchikichi Ilala jijini Dar es Salaam na ujenzi wa nyumba hizo ambazo zipo nyumba (48) unatarajia kukamilika rasmi February 2013. 
Amesema nyumba hizo zenye vyumba vitatu kwa kila nyumba chumba kimoja cha kulala cha kujitegemea na vyumba viwili vinavyotumia choo kwa pamoja na alisema kila nyumba itauzwa kwa shilingi,168,239,748.62 (bila vat) wakwanza kushoto ni Bw. Itandula Gambalagi ambaye ni meneja masoko na utafiti na wa kwanza kulia ni Bw. William Genya  Meneja Mauzo katika Shirika hilo.
(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE).
Baadhi  ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali waliohudhuria katika mkutano huo wakiwa kazini kwenye hoteli ya New Africa jijini Dar es salaam leo.

No comments:

Post a Comment