Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo (kushoto),akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu Huduma za Jamii wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Robert Charles (kulia) mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil. 100 za kusaidia ujenzi wa majengo mapya ya Chuo Kikuu cha Tumaini, Dar es Salaam. Anayeshuhudia makabidhiano hayo yaliyofanyika, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, ni Mkuu wa chuo hicho kampasi ya Dar es Salaam, Profesa Geofrey Mmari. |
No comments:
Post a Comment