Monday, April 23, 2012

UZINDUZI WA PROGRAMU YA 'NIGH WATCH' INAYOENDESHWA NA ZINDUKA WAFANA JIJINI DAR


Mshereheshaji wa shughuli ya uzinduzi wa programu mpya ya kuhamasisha utumiaji wa vyandarua inayoitwa 'Night Watch' Taji Liundi akiongoza.
Mratibu wa uzinduzi wa 'Nigh Watch' Bi. Sadaka Gandi akiongea na wageni waalikwa.


Wageni waalikwa walifuatilia uzinduzi huo.
Mabalozi wa malaria nchini Tanzania.
Mabalozi wa malaria nchini Tanzania Farid Kubanda a.k.a Fid Q, Hamis Mandi a.k.a B-12 na Mwasiti Almasi.

Mabalozi wa malaria nchini Tanzania Hamis Mandi a.k.a B-12, Mwasiti Almasi, Barnaba na Amini Mwinyimkuu.

Mabalozi wakifuatilia uzinduzi.

No comments:

Post a Comment