Wanafunzi wa Wanasoma Shahada ya Kwanza ya Sosholojia Ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) walipowasili katika hospitali ya wagonjwa wa akili ya Milembe iliyopo Dodoma kwaajili ya Kuwatembelea na Kukabidhi misaada yenye thamani ya Jumla ya Shiling aki tano na nusu
Muuguzi Mfawidhi wa Hospitali ya Milembe Dk John Ndimo(Kulia) akiongea na wanafunzi wa Shahada ya Kwanza ya Sosholojia wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) walipokwenda kutembelea hospitali hiyo kwa lengo la kutoa msaada na kujifunza pia.Wa Pili Kulia ni Msemaji wa Taasisi ya Wanafunzi wanaosoma Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOMSSO) Mh Leo Joachim
Msemaji wa Taasisi ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma(UDOMSSO) Mh Leo Joachim akiongea na Muuguzi mfawidhi wa Hospitali ya Milembe iliyopo Mkoani Dodoma huku akishuhudiwa na wanafunzi wanaosoma shahada ya kwanza ya sosholojia kutoka Chuo kikuu Cha Dodoma (hawapo pichani)
Baadhi ya Wanafunzi wanaosomea shahada ya kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma wakimsikiliza kwa makini Muuguzi mfawidhi wa hospitali ya Milembe wakatialipokua akieleza hali halisi ya hospitali hiyo leo
Katibu Wa taasisi ya Wanafunzi wanaosoma Shahada ya kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma Mh Mirobo Mashauri akijiandaa kukabidhi Misaada iliyotolewa na Wanafunzi wa Shahada ya Kwanza ya Sosholojia Ya Chuo Kikuu Cha Dodoma wakati walipotembelea hospitali ya Milembe leo
Katibu Wa Taasisi Ya wanafunzi wanaosoma shahada ya Kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma Mh Mirobo Mashauri akikabidh baadhi ya misaada iliyotolewa na Wanafunzi wa Shahada ya Kwanza ya Sosholojia Ya Chuo Kikuu Cha Dodoma wakati walipotembelea hospitali hiyo leo
Muuguzi mfawidhi wa Hospitali ya Milembe Dk John Ndimo (Wa tatu kutoka Kulia) akishukuru kwa misaada iliyotolewa na Wanafunzi wanaosoma Shahada ya Kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma wakati walipotembelea hospitali hiyo leo
No comments:
Post a Comment