Mke
wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal
(kushoto) akiwa na Flaviana Matata, katika hafla iliyofanyika jijini
Dar jana.
Mwanamitindo
wa Kimataifa, Flaviana Matata amekuja nchini akitokea nchini Marekani
anakoishi na kufanya shughuli zake, amewasili nchini kwa lengo la kutoa
msaada wa Vifaa vya kuokolea maisha Majini (Life Vest) ambavyo
atavikabidhi Jijini Mwanza leo.
Ikiwa
ni miaka 16 tangu alipompoteza mama yake mzazi katika ajali hiyo ya MV
BUKOBA iliyozama katika Ziwa Victoria, Matata ameamua kutoa msaada huo
wa vifaa vya kuokolea maisha ikiwa ni sehemu ya kumuenzi na kumkumbuka
mama yake mzazi.
No comments:
Post a Comment