Mchezaji kutoka Chuo cha
St.John cha Dodoma,
Obiara Anyoti akicheza dhidi ya mpinzani wake Kweka John (hayupo pichani)
wakati wa mashindano ya Safari Higher Learning Pool Competition yanayofunguliwa
leo rasmi Mkoani Iringa.
Wanafunzi wachezaji kutoka vyuo
mbalimbali shiriki wa mashindano ya Safari Higher Learning wakifuatilia
mashindano yaliofunguliwa leo Mkoani Iringa.
Mchezaji kutoka Chuo cha
MUCCOBS CHA Mkoani Moshi, Kweka John akicheza dhidi ya mpinzani wake Obiara
Anyoti(hayupo pichani) wakati wa mashindano ya Safari Higher Learning Pool
Competition yanayofunguliwa leo rasmi Mkoani Iringa.
Wachezaji wakishindana kulagi wakati wa
mashindano ya Safari Higher Learning Pool Competition yanayofunguliwa leo rasmi
Mkoani Iringa
Mchezaji wa chuo cha MUCCOBS, cha Moshi Kilimanjaro,Selemani Nassoro akipanga kete nyeupe ili acheze
Wachezaji wakishindana kulagi
wakati wa mashindano ya Safari Higher Learning Pool Competition yanayofunguliwa
leo rasmi Mkoani Iringa.
Wanafunzi wachezaji kutoka
vyuo mbalimbali shiriki wa mashindano ya Safari Higher Learning wakifuatilia
mashindano yaliofunguliwa leo Mkoani Iringa.
No comments:
Post a Comment