Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal. Akisoma
hotuba yake wakati akifungua mkutano wa siku nne wa kubadilishana uzoefu baina
ya Serikali ya Tanzania na China, kuhusu mafunzo ya Ulinzi. Ufunguzi huo
umefanyika leo Mei 21, 2012 katika Chuo kipya cha Jeshi National Defence
College (NDC) kilichojengwa na Wachina eneo la Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipokea zawadi kutoka kwa Liutenant General wa Jeshi la Bangladesh, M F Akbar,
baada ya kufungua rasmi mkutano wa siku nne wa kubadilishana uzoefu baina ya Serikali ya
Tanzania na China, kuhusu mafunzo ya Ulinzi. Ufunguzi huo umefanyika leo Mei
21, 2012 katika Chuo kipya cha Jeshi National Defence College (NDC)
kilichojengwa na Wachina eneo la Kunduchi jijini Dar es Salaam. Picha na
Muhidin Sufiani-OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipokea zawadi kutoka kwa Meja General Charles Lawrence Makakala, baada ya
kufungua rasmi mkutano wa siku nne wa kubadilishana
uzoefu baina ya Serikali ya Tanzania na China, kuhusu mafunzo ya Ulinzi.
Ufunguzi huo umefanyika leo Mei 21, 2012 katika Chuo kipya cha Jeshi National
Defence College (NDC) kilichojengwa na Wachina eneo la Kunduchi jijini Dar es
Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa
katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo mara baada ya kuufungua
rasmi leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowasa, wakati akiondoka katika Chuo
cha Mafunzo ya Jesho cha National Defence College (NDC) baada ya kufungua rasmi
mkutano wa siku nne wa kubadilishana uzoefu baina ya Serikali ya
Tanzania na China, kuhusu mafunzo ya Ulinzi. Ufunguzi huo umefanyika leo Mei
21, 2012 katika hicho kipya cha kilichojengwa na Wachina eneo la Kunduchi
jijini Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakiwa katika ukumbi wa mkutano wakati
Makamu wa Rais Dkt Bilal, akifungua mkutano huo leo.
No comments:
Post a Comment