Mbunge
wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika akiwapungia Wananchi wa Ubungo Standi
huku akitembea kwa Mguu kutoka Mahakamani mara baada ya kushinda kesi
jijini Dar es Salaam.
Akiwapungia wanajimbo lake
Wanafunzi
wa Shule ya Msingi ambao hawakutambulika wanatoka shule gani
wakishangilia huku wakiwa kwenye maandamano hayo wakiwa wameshikilia
picha ya Mbunge wa Jimbo la Ubungo John Mnyika Dar es Salaam
Akiwa katika ulinzi mkali akiwapungia wanajimbo lake
Mnyika akiwapungia wanajimbo la Ubungo akiwa na furaha
Wakazi wa ubungo wakiwa katika maandamano ya kumpokea Mbunge wa Ubungo John Mnyika
Wanahabari wakiwa katika harakati za kazi
No comments:
Post a Comment