Bondia Hamisi Nassoro kushoto akioneshana uwezo wa kutupa masumbwi na
Charo Issa wakati wa mashindano ya kumi bora yaliyofanyika Dar es salaam
juzi Charo alishinda kwa point.Picha na www.superdboxingcoach.blogsot. com
Bondia Mohamed Amir 'Macho' kulia akioneshana ufundi wa kutupa makande
na West Llyd 'Scopion' wa Arusha wakati wa mashindano ya kutafuta kumi
bora kwa kila uzito iliyoandaliwa na kinyogoli Fondition Dar es salaam
jana.Picha na www.superdboxingcoach. blogspot.com
Bondia Mohamed Amir 'Macho' kushoto akioneshana ufundi wa kutupa makande
na West Llyd 'Scopion' wa Arusha wakati wa mashindano ya kutafuta kumi
bora kwa kila uzito iliyoandaliwa na kinyogoli Fondition Dar es salaam
jana.Picha na www.superdboxingcoach.
Mdau wa Mchezo wa Masumbwi Yusufu Selemani kushoto akimkabidhi vifaa vya
kufundishia Mkurugenzi wa Taasisi ya Kinyogoli Fondition. Habibu
Kinyogoli kwa ajili ya kufundisha mabondia katika taasisi hiyo
inayoendelea na mchakato wa kutafuta mashindano ya 10 bora yanayoendelea
katika ukumbi wa pananda panandi Ilala Bungoni Dar es salaam Kinyogoli
ndie kocha mkongwe wa masumbwi aliyewaibua vijana wengi wakiwemo ukoo wa
kina Matumla,Josefu Marwa,Iraq Hudu,Rajabu Mhamila 'Super D',Shabani
Mhamila 'Star Boy; na wengineo
Bondia Ibrahimu Class kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na
bondia Iddy Mnyeke wakati wa mpambano wao wa kutafuta kumi bora
iliyoandaliwa na kinyogoli Fondition Dar es salaam juzi mabondia hao
walitoka droo ya point 38 kwa 38.picha na www.superdboxingcoach. blogspot.com
Bondia Mohamed Amir 'Macho' kulia akioneshana ufundi wa kutupa makande
na West Llyd 'Scopion' wa Arusha wakati wa mashindano ya kutafuta kumi
bora kwa kila uzito iliyoandaliwa na kinyogoli Fondition Dar es salaam
jana.Picha na www.superdboxingcoach.
Bondia Mohamed Amir 'Macho' kushoto akioneshana ufundi wa kutupa makande
na West Llyd 'Scopion' wa Arusha wakati wa mashindano ya kutafuta kumi
bora kwa kila uzito iliyoandaliwa na kinyogoli Fondition Dar es salaam
jana.Picha na www.superdboxingcoach. blogspot.com
No comments:
Post a Comment