Thursday, May 17, 2012

TIGO YATOA OFA KWA WATEJA WAO



Description: Tigo Logo JPG
TaarifaKwaVyomboVyaHabari

‘PatamudawamaongezimarambilinaTigo”

16 Mei, 2012, Dar es Salaam.KwamaranyinginekampuniyaTigoimeonyeshaniayakutoahuduma bora kwawatejawamalipoyakablakwakuzinduapromosheniya “PatamudawamaongezimarambilinaTigo”

“Tunafurahasanakutoathamanihiiyafedhakwawatejawetu” alisema Alice MaroambayeniafisauhusianowaTigo. “Promoshenihiinizawadinyinginekwawatejawetuilikuwawezeshakuendeleakufurahiahuduma bora nanafuukutokaTigo,kwani tuna lengo la kurahisishamawasilianonakufanyamaishayaoyawerahisina bora” alisema.

Promoshenihiiambayoitadumukwasikunne, itawawezeshawatejawamalipoyakablawatakoongezasaliokupitiaTigoPesa au TigoRushakupatamudawamaongeziwaziada. Watejawatapatamudawamaongeziuliolipiwanadakikazanyongezakutegemeanakiwangowalichoongeza,dakikazaziadazitawawezeshakuwapigiandugu, jamaanamarafikiwawapendao. Baadayakuongezamudawamaongezi, watejawatapataujumbewamaandishikamauthibitishowakuanzakutumiamudawaziadawamaongezi.


Kuhusu Tigo:

Tigo ni mtandaowa simuzamkononi ya kwanza Tanzania, ilianzabiasharamwaka 1994 na ni mtandaowasimu Tanzania wenyeubunifuwahaliyajuunabeinafuukupitazotenchini. Tigo ni sehemuya MillicomInternational Cellular S.A (MIC) na hutoa hudumazasimuzamkononikwagharamanafuunainayopatikanamaeneomengikiurahisikwa watejazaidiya milioni 30 katika masoko 13 yanaoibukaAfrika na AmerikayaKusini.

Msingiwamafanikioya Tigo niuzingatiajiwamikakatimitatuambao,niGharamanafuu, UweponaUpatikanaji .Tunajenga duniaambapo hudumazasimu ni zabeinafuu, ziponazinapatikanakilamahali na kwawote. Hii inahakikishakwambawatejawetuwanapatahuduma bora zaidikwabeinafuukulikozote katika mikoayetu 26, Tanzania Bara na Zanzibar.

Kwataarifazaidi tembelea: www.tigo.co.tz

Imetolewana:
Alice Maro • PR-Tigo  • Simu 255 715 554501 

No comments:

Post a Comment