WAZIRI MKUU PINDA AMTEMBELEA WAZIRI PROF. MWANDOSYA
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika mazungumzo na Waziri Mark Mwandosya
wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Kunduchi jijini Dar es salaam
kumjulia hali May 7, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri Mark Mwandosya wakati
alipomtembelea nyumbani kwake, Kunduchi jijini Dar es salaam kumjulia
hali , May 7, 2012. Katikati ni Mke wa Waziri huyo, Mama Lucy Mwandosya.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment