Afisa
mradi wa habari na mawasiliano UNESCO Yusuph Al Amin akikabithi radio
ya solar kwa mkazi wa kijiji cha Ololosokwan wakati wa ziara ya
kutembelea mradi wa Radio jamii ulioanzishwa chini ya udhamini wa Airtel
kwa kushirikia na UNESCO, Radio zaid ya 200 zilikabithiwa kwa wakazi
wa kijiji hapo, uzinduzi wa Radio hii
utafanyika mwishoni mwa mwenzi juni,
wafanyakazi
wa Airtel Dua Kazimoto na Mercy Nyange wakiwa katika picha na wanawake
wafanyabiashara wa vikundi vidogovidongo wa kijiji cha Ololosokwani
wakati wakati walipotembela mradi wa radio unotegemea kuzinduliwa
mwishoni mwa mwenzi Juni
Afisa
mradi wa habari na mawasiliano UNESCO Yusuph Al Amin akionyesha jinsi
gani radio ya solar inavyofanya kazi mara baada ya kukabithi Radio 200
kwa wakazi wa kijiji cha Ololoskwan wakati wa ziara ya kutembelea mradi
wa Radio jamii ulioanzishwa chini ya udhamini wa Airtel kwa kushirikia
na UNESCO, Ololosokwani Radio inategemea kuzinduliwa mwishoni mwa mwenzi
juni, wakishuhudia kushoto ni mwakilishi wa Airtel Ahmed Juma katika ni
Yannick Ndoinyo Mkurugenzi mtendaji IrkiRamat Foundation (RAMAT)
No comments:
Post a Comment